Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Rekebisha kiswahili basi, sema tulikuwa tumepotea njia.Hivi hili taifa halina wachumi au watalaamu wa mipango?
Hivi waliopo madarakani hawana huruma na wananchi...
Kwani hizi A220-300 mlizopokea Zanzibar mlinunua lini?Rekebisha kiswahili basi, sema tulikuwa tumepotea njia.
Hongera mno, naona siku hizi akili zimekurudiaKwani hizi A220-300 mlizopokea Zanzibar mlinunua lini?
Chama Cha Mazuzu.Hivi hili taifa halina wachumi au watalaamu wa mipango?
Hivi waliopo madarakani hawana huruma na wananchi...
Hasara ya nchi kutokuwa na Tume ya Mipango ambayo iliuliwa na mpango ambaye alipandishwa cheo na kuwa Makamu wa raisHivi hili taifa halina wachumi au watalaamu wa mipango?
Hivi waliopo madarakani hawana huruma na wananchi?
Taifa bado maskini kabisa ambalo huduma za kijamii na kiuchumi bado zipo duni kabisa linakwenda kukopa Tril 1.3 na kujenga vyoo vya shule na madarasa huku likitumia Cash kununua ndege za matrilion ya shilingi!
Taifa letu limemkosea nini Mungu?
Kama ni ishu ya kufanya biashara ya ndege itakayolipa kwa nini tusikope hizo ndege alafu tukatumia cash tuliyonayo kujenga vyoo na madarasa?
HAINA tofauti na reshuffles Tu zingine, Waziri RC DC sijui mkurugenzi anavurunda hapa, anahamishiwa huku, yaani tuna recycle mpaka kichefuchefu, si waweke watu wapya! Nchii hii ni yetu sote, tuifaidi mema wote!Hasara ya nchi kutokuwa na Tume ya Mipango ambayo iliuliwa na mpango ambaye alipandishwa cheo na kuwa Makamu wa rais
Hivi hili taifa halina wachumi au watalaamu wa mipango?
Hivi waliopo madarakani hawana huruma na wananchi?
Taifa bado maskini kabisa ambalo huduma za kijamii na kiuchumi bado zipo duni kabisa linakwenda kukopa Tril 1.3 na kujenga vyoo vya shule na madarasa huku likitumia Cash kununua ndege za matrilion ya shilingi!
Taifa letu limemkosea nini
Population growth ni kubwa 4% haiendani na pato la taifa.Hivi hili taifa halina wachumi au watalaamu wa mipango?
Hivi waliopo madarakani hawana huruma na wananchi?
Taifa bado maskini kabisa ambalo huduma za kijamii na kiuchumi bado zipo duni kabisa linakwenda kukopa Tril 1.3 na kujenga vyoo vya shule na madarasa huku likitumia Cash kununua ndege za matrilion ya shilingi!
Taifa letu limemkosea nini Mungu?
Kama ni ishu ya kufanya biashara ya ndege itakayolipa kwa nini tusikope hizo ndege alafu tukatumia cash tuliyonayo kujenga vyoo na madarasa?
Acha utotoHongera mno, naona siku hizi akili zimekurudia
FactAcha utoto