Hivi tumepotea njia? Tunanunua ndege kwa Cash halafu tunakopa pesa kujenga vyoo vya shule na madarasa

Aliyenunua ndege cash ni Nani??? Tusimtwike mama wa watu lawama asizostahili. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe.

Yule mshamba wa ndege ndio alikuwa ananunua tu bila kuwa hata na plan yeyote, shirika limejikuta Lina mandege hayana vibali vya kuruka kwenda nchi kadhaa.

Zinazurura tu Leo unakuta moja kaichukua waziri Mkuu, nyingine Makamu wa Rais, nyingine bi mkubwa anazurura nayo kupiga shanting ya Dar to Dodoma, hizo nyingine zinazurura tu hakuna kitu.

Mwaka juzi walireport loss ya revenue na mwaka jana loss tupu imebidi wasamehewe madeni wanayodaiwa na serikali ili kucover hizo loss zao Ila hakuna kitu.

Wangepakia watoto wanapoenda mashuleni na vyuo bure.
 
Hatari sana aisee. Hii kauli inatafakarisha mnoo yaani. Mkuu wa nchi kabisa anawaambia wasaidizi wake wale kwa urefu wa kamba yao na wasivimbiwe? Hakika inasikitisha mnoooo
 
I see.
 
Tokea tujenge Chato hair-port, tulikuwa, tulishapotea njia! Tukisema airport ni uongo, inakoelekea hakuna hata ndege ya dharura itatua pale!
Na ujenzi ule WA kumpigia simu Mfugale, barabarani, na kusema hii barabara ianze kujengwa!
Huo ujenzi ni safi sana!

Siyo huu wa kuleni ila msivimbiwe!
 
Kwa hiyo hata huyu wa sasa nae ni msukuma kumbe?
 
Kwa hiyo huyu mamaako hujasikia hata siku moja kama nae kalipia ndege?
 
Kwa hiyo huyu mamaako hujasikia hata siku moja kama nae kalipia ndege?
Hakuna ndege alizolipia acha ubwege, hayo mandege yote yalilipiwa na msukuma wenu. Hizi zilikuwa wanatengeneza bado Ila zilishalipiwa kila shilingi usifanye hatujui mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…