Uchaguzi 2020 Hivi Tundu Lissu akishindwa mtafanya nini?

Mnapima upepo mwaka huu hatutakubali Jechaism tena.
 
Mbona hamtupi majibu na magufuli akishindwa
 
Nchi kama ina Viongozi wenye Utu wamshauri alieshikilia madaraka kwamba akishindwa aachie ngazi.Hatutaki kuongozwa na viongozi watakaoingia madarakani huku mikono yao imejaa damy za Watanzania.
 
Mkuu Chadema wanafahamu kabisa kuwa Lisu anakwenda kupoteza na kwakua wamekosa mgombea mwenye mvuto toka CCM ndio maana wakampa gunia la misumari alibebe kwa gia ya hoja ya Risasi.
 

Siasa sio kushinda na watu. Kama una wananchi hata kama ukishidwa haisaidii CCM haiwezi kutoka bado hata kama wakishidwa kura. Mandela alikuwa na watu wakati yupo jela na kulikuwepo na rasi na utawala mwingine!!!
 
Kicharazio cha sim😁😁😁
 
Mkuu hawa wanajiliwaza tu. Wanajua tu kuwa Lissu hata asilimia 10 hafikishi.
 
Asiyependa kushindwa sio mshindani..Ukishindana NI mawili..
ushide au ushindwe..full stop
 
Nilipanga kutopiga kura lakini mara hii kwenye foleni nipo hata kama ni kutwa nzima
 
Kiukweli chadema watashindwa na ole wao wadanganyane kuingia barabarani, yaani kabla hata ffu hawajaingia kitaa sisi wananchi tutakua front line kuwatia vilema
 

Kutuaminisha hakuna korona aisee kaweza jamaa
 
Kiukweli chadema watashindwa na ole wao wadanganyane kuingia barabarani, yaani kabla hata ffu hawajaingia kitaa sisi wananchi tutakua front line kuwatia vilema
🤪🤪🤪
 
Kama wewe ni mtanzania huu msemo hapo chini sio mpya kwako.


"ASIYEKUBALI KUSHINDWA SI MSHINDANI"
 
Waambie baba CCM wapo nyuma ya pazia wanapanga yao wao wapo huku wanapigishana kelele na wananchi utadhani wananchi wanaamua kumbe kuna kikundi cha watu wapo eneo ndio waamuzi wakuu hawa wakitaka kukupora jimbo ni dakika tu.
Kwa akili hizi mtatawaliwa na ccm hadi mkome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…