Uchaguzi 2020 Hivi Tundu Lissu akishindwa mtafanya nini?

Nakumbuka 2015 mkoa huu nilipo siku kadhaa kabla ya uchaguzi walileta fieldforce wengi mno hadi kambi ilijaa wakafungiwa na ma hema kutwa wanafanya mazoezi ..zilikuja basi kadhaa ....

Nawaza walileta kwa ajili gani ...

Haya kama ni vurugu je kina nani wangeleta ,, moja kwa moja ni upinzani ...kwa hiyo inamaana waliyajua matokeo🤔
 
Jiulize pia bana yule akidondoka itakuwje
 
Hatoshinda pamoja na mbwembwe zote. Wa TZ wanajielewa sana.
 
 
Siyo akishindwa, Lissu keshashindwa kabla ya siku ya uchaguzi, wengine hata pressure hatuna maana tunajua hata 20% ya kura hatapata.
 
Ni wazi kwa joto lililopo huku mtaani Lissu ATASHINDA kwa over 60% isipokuwa anaweza KUTOTANGAZWA.

kifuatacho?

hata mimi sijui.... so, naungana na wewe kuuliza swali kama lako!
Joto la Lisu naona mtandaoni tu huku napokaa upinzani tunaona bendera za Kina Lipumba na Act kwa sana
 
Mabeberu wanaweza wakamuua maana kala hela zao na aliwahakikishia ushindi na hali inavyoonekana atashindwa, so they will kill him ili watafute kiki ya kuleta mapigano, ingawa hiyo move haitofanikiwa maana kila mtanzania anajua kabisa katumwa with a mission so his death will justify wazo la mabeberu na hakuna mtanzania atakaye sympathise na msaliti, Lisu will die in the hands of mabeberu na watanzania tutamsahau na kumzika as if kafa inzi.
 
Ndivyo ccm wanabyojaribu kuwadanganya watu. Ccm ifanye fujo halafu waseme ni Lissu ameleta na waaminishe watu kuwa ni kwa kuwa yeye ana Belgium! Kwani ni nani alimpeleka huko? Si ni ccm hiyohiyo?
 
Hii nakataa kabisa, au mimi ndio una mission hizo?
 

Hakuna cha kuijua au kutoijua CCM. Wala sijaandika kwa hisia zozote. Nimekupa fact tu. Kila mtu anajua Magufuli atatangazwa mshindi. Haina mjadala. 2015 Lowassa hata kwa kutoongea sana alipata kura nyingi kutokana na raia wengi kuichoka CCM kama ulivyosema. Hakupewa ushindi.

2020 raia ndio wameichoka CCM vibaya sana. KIBAYA ZAIDI, CHADEMA imemteua “kichaa” Lissu ambaye atatoa dozi ya maumivu kwa mgombea wa CCM kiasi kwamba hata ushindi ukitangazwa utakuwa wa kuugulia. Hilo halikwepeki safari hii labda ipatikane namna ya kumuengua TL kwenye kugombea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…