Uchaguzi 2020 Hivi Tundu Lissu akishindwa mtafanya nini?

lowasa mwenye uzoefu wa ccm miaka karibia 50 amenawa mikono na yeye alikua ndan ya ccm , uyo mbuzi anaepungia miti ndo unasema amechangamsha uchaguzi? mbna mshindi anajulikana mpaka 2100

Sijazungumzia mshindi. Soma tena. Mshindi chaguzi za Tanzania huwa anajulikana; hilo sio suala.
 
Akishindwa kwa haki hakuna neno. Tunajipanga upya!
 
Weka alama huu uzi, nakwambia angalia figisu tu hapo jana Hai
 
Siyo akishindwa, Lissu keshashindwa kabla ya siku ya uchaguzi, wengine hata pressure hatuna maana tunajua hata 20% ya kura hatapata.

Kama unalala sebuleni ... dada ako yuko na shemeji ako chumbani presha unatoa wapi sasa ndugu
 
Kuna misitu mikubwa tu huko, Lindi, Morogoro, ikishindikana kwa Sanduku, Hatutakua na budi
 
Nguvu ya UMMA itamtoa Magu Ikulu kama namna ambavyo Laurent Bagbo alivyotolewa.

Magufuli hata 2015 hakushinda. Mipango ya kuiba kura ilifanywa na Modest Kapilimba alipotolewa BOT na kupelekwa NEC siku mbili baada ya kupiga kura. HATIMAYE akazawadiwa kuwa DG -TISS
 
mkuu mpaka wanaingia kwenye mapambano wanayatambua na tiyari wana mwarobain wa hayo , hapa cha msingi wapinzani washindwe kwa haki sawa , ila mkifanya mazoea ya kila siku kwamba ushindi ni lazima , mtakipata cha mtema kuni , iccc wataenda wengi tu kwa sasa moto wa kimbunga 2020 ,utawapitia wengi tu wasipokua makini
 
Ni wazi kwa joto lililopo huku mtaani Lissu ATASHINDA kwa over 60% isipokuwa anaweza KUTOTANGAZWA.

kifuatacho?

hata mimi sijui.... so, naungana na wewe kuuliza swali kama lako!

Natamani kujua umri wako
 
Lissu atapata kura za kumpa ushindi hiloka halina mashaka ila hatatangazwa, tofauti na Lowasa yeye Hatakubali. Kitakachotokea kinategemea support atakayopata kutoka kwa wanachadema/wananchi.
 
Kwanza lazima ukubali kwa hata akishinda au akishindwa iwe kwa halali au dhulma,basi Lissu hatakuwa wa kwanza kufanya hivyo.Japo kila anaeenda shambani matarajio yake ni kuvuna.hapo hujafikiria mbinu bora au hafifu za kilimo.kila jambo,kitu kina upeo wake.MBONA HUSEMI MAGUFULI AKISHINDWA ITAKUWAJE kwa sababu hapo ndipo penye shida.Magufili anaemiliki vyombo vyote vya dola.
 
Haaaa haaaa Lisu apewe nchi . Kweli ? Chadema subiri mziki uanze tatizo mkiona tu watu wanashangaa Shangaa mihemko kibao . Magu ni mziki mwingine bado sha
 
TUNDU HAWEZI KUSHINDA KWA NAMNA YOYOTE. Nimeandika kwa herufi kubwa ili kuonesha msisitizo
 
Magufuli hawezi kushindwa kabisa hii ni ndoto ya mchana
 
TUNDU HAWEZI KUSHINDA KWA NAMNA YOYOTE. Nimeandika kwa herufi kubwa ili kuonesha msisitizo
Lisu atashindia kwenye box la kura tu lakini kamwe hawez tangazwa mshindi
 
Magufuli hawezi kushindwa kabisa hii ni ndoto ya mchana
Unahisi atakuwa wa kwanza.kuna waliokaa madarakani miaka 30 na wakati uliongea wakaondoka.kuna mambo ambayo machoni pa mtu yanaonekana km magumu san kutokea lakini katika hali ya kushangaza na isiyotegemewa hutokea.
 
Magufuli alisema urais mgumu na amechoka mboa kagombea tena bad enough kakataza wenzake wasichukue form?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…