Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Oh ok. Sikujua hilo.Sina hakika na huyu uliye msema Ila, Sheria na taratibu za uchaguzi huko US na hata hapa Tz zinasema wagombea wote wa nafasi ya uraisi kupewa walinzi na serikali maana yeyote Kati yao anaweza kuwa raisi mchaguliwa na hatimaye raisi kabisa baada ya kupishwa.
Kabisa..Oh ok. Sikujua hilo.
Basi huenda huyo jamaa ni wa kutoka serikalini...
Nini we GiLeSi? 🤣Tundu Lissu analindwa na Mungu tu, BWANA ASIPOULINDA MJI, WAULINDAO WAKESHA BURE
Nani ana jambia?Walinzi wa serikali toka lini wakatembea na majambia? Ila ulinzi wa kweli huutoa Mungu maana imeandikwa amelaaniwa yule amtegemeaye binadamu mwenzake kama kinga.
Haya mengine huwa ni protocol za kidunia tuu maana pia tuliambiwa tutii mamlaka zilizowekwa hapa Duniani ila ulinzi wa kweli na uhakika ni wa kupiga goti na kufanya maombi.
October 28th tujitokeze kwa wingi tukampe kura za ndio JPM maana ni Kiongozi aliyetukumbusha kumlilia Mungu tulipokuwa katika nyakati ngumu za Covid 19.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Kwanini huyo Mungu hakuzizuia hizo risasi 16 kuliko kumwacha atandikwe nazo?Mungu aliyemuokoa na kifo cha risasi 16. Anaendelea kumpa ulinzi usiionekana kibinadamu. Huyo aliyenaye ni mlinzi binafsi wa Rais Lissu.
Huyo hapo.Nani ana jambia?
Inawezekana labda kapewa zaidi ya mmoja?Kuna mlinzi mmoja namjua kapewa na serikali, nadhani ni usalama wa taarifa au polis ila sio huyo wa kwenye picha
Ndo nani huyo?Huyo hapo.
October 28th kura zote za ndio ni kwa JPM
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA View attachment 1601635
Hata Yesu alisulubiwa ili sisi tupate kuokombolewa.Kwa nini huyo mungu hakuzizuia hizo risasi 16 kuliko kumwacha atandikwe nazo?
Ndo yeye huyo.Ndo nani huyo?
Msingeweza kukombolewa bila yeye kusulubiwa?Hata Yesu alisulubiwa ili sisi tupate kuokombolewa.