Uchaguzi 2020 Hivi Tundu Lissu amepewa ulinzi na Serikali?

Uchaguzi 2020 Hivi Tundu Lissu amepewa ulinzi na Serikali?

yaani waliotaka kumuua wamlinde?
hii ni mentality kutoka sayari gani hii?
Hapo imetumika mentality ya Mchawi Mpe Mwanao Akulelee. Mana angetumia walinzi tofauti na we Serikali wangeweza mdhuru wakasema walinzi wake hawana sifa. Kwa sasa chochote kitakachotokea, watakao banwa no Serikali.
 
hii ni kwa serekali yenye akili inayo think straight, siyo hii twisted!
 
Walinzi wa serikali toka lini wakatembea na majambia? Ila ulinzi wa kweli huutoa Mungu maana imeandikwa amelaaniwa yule amtegemeaye binadamu mwenzake kama kinga.

Haya mengine huwa ni protocol za kidunia tuu maana pia tuliambiwa tutii mamlaka zilizowekwa hapa Duniani ila ulinzi wa kweli na uhakika ni wa kupiga goti na kufanya maombi.

October 28th tujitokeze kwa wingi tukampe kura za ndio JPM maana ni Kiongozi aliyetukumbusha kumlilia Mungu tulipokuwa katika nyakati ngumu za Covid 19.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Ndio JPM gari 30 za walinzi plus helicopter ,makirikiri bado unaamini analindwa na Mungu?au ndo ubongo mdogo tunafikiria kupitia masaburi
 
Uchaguzi ujao gombea utapata jibu, wagombea wote umemuona Lissu tu.
Mbona unaandika kama vile umeona mi nimemsema vibaya Lissu?

Mi nimeuliza tu.

Na ndiyo, Lissu ndo mgombea mpinzani mkuu wa Rais Magufuli.

Sikuona haja ya kuuliza kuhusu Membe wala Rungwe..
 
Ndio JPM gari 30 za walinzi plus helicopter ,makirikiri bado unaamini analindwa na Mungu?au ndo ubongo mdogo tunafikiria kupitia masaburi
Analindwa na Mungu haswaa hayo mengine ni protocol za kidunia alishaambiwa atii mamlaka zilizowekwa Duniani ila Mungu na sala za wananchi wazalendo ndio Silaha zake.

October 28th kura za ndio ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Ukiwa tu mgombea lazima upewe ulinzi na serikali hiyo ni lazima.. kwa lissu walinzi anao wa serikali ila kidogo inaweza kuwa ngumu kuwawekea dot moja kwa moja ila anao na wanaendelea na majukumu yao.. alasivyo Kama angekuwa hajapewa lissu angekuwa ameshalalama zamani sana..😂
Mkuu hata rungwe wa chauma anao Tena alilisema hilo kwa mdomo wake fatilia mahojiano yake pale ITV.
 
Mbona unaandika kama vile umeona mi nimemsema vibaya Lissu?

Mi nimeuliza tu.

Na ndiyo, Lissu ndo mgombea mpinzani mkuu wa Rais Magufuli.

Sikuona haja ya kuuliza kuhusu Membe wala Rungwe..
Umesema tangu mwanzo umekuwa ukifuatilia!
 
Back
Top Bottom