Uchaguzi 2020 Hivi Tundu Lissu amepewa ulinzi na Serikali?

Huyu jamaa anamsaidia Lissu kumpandisha kwenye Jukwaa kwani hawezi kupanda pekee yake.
 
Kuna walinzi wa serikali ila nahisi huyo mwenye kaunda ni wengine wapo 4 wanamlinda kutoka serikali.
Kila mgombea hupewa walinzi/mlinzi.

Mfano Lisu na Magufuli wanao walinzi wengi zaidi kulingana na ukubwa wa CHAMA ,na possibility ya kushika dola.
Kwenye suala la uongozi kitengo huwa hakina siasa.
 
Kuna mlinzi mmoja namjua kapewa na serikali, nadhani ni usalama wa taarifa au polis ila sio huyo wa kwenye picha
Nafikiri kuna wawili hapo, huyo dogodogo naye huvaa Suti na miwani na huyo mbaba mwili mkubwa mweusi. Walianza baada ya kutangazwa na TUME. Ila kuna huyo km bounser na MDADA hivi hao nafikiri ni binafsi. Ila wote naona wapo vizuri. Hao wavaa Suti husaidia kumaliza pale yatokeapo mabishano na mapolisi.
 
Ulianza vizuri sana ila ulipochanganya mrenda na papai ukaharibu kote ulipoanza 😬!
Walinzi wa serikali toka lini wakatembea na majambia? Ila ulinzi wa kweli huutoa Mungu maana imeandikwa amelaaniwa yule amtegemeaye binadamu mwenzake kama kinga.

Haya mengine huwa ni protocol za kidunia tuu maana pia tuliambiwa tutii mamlaka zilizowekwa hapa Duniani ila ulinzi wa kweli na uhakika ni wa kupiga goti na kufanya maombi.

October 28th tujitokeze kwa wingi tukampe kura za ndio JPM maana ni Kiongozi aliyetukumbusha kumlilia Mungu tulipokuwa katika nyakati ngumu za Covid 19.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Kuna walinzi wa serikali ila nahisi huyo mwenye kaunda ni wengine wapo 4 wanamlinda kutoka serikali.
Kila mgombea hupewa walinzi/mlinzi.
Mfano Lisu na Magufuli wanao walinzi wengi zaidi kulingana na ukubwa wa CHAMA ,na possibility ya kushika dola.
Kwenye suala la uongozi kitengo huwa hakina siasa.
Kuna Mtu kwa sasa ANAMULIKWA sana baada ya upepo kubadilika...
 
View attachment 1601611

Katika kipindi hiki cha kampeni za urais, nimekuwa nikimwona huyo jamaa aliyevaa ‘Kaunda suti’ ya buluu hapo kwenye picha, akiwa pembeni ya Tundu Lissu karibu kila sehemu.

Nikiangalia mavazi yake pamoja na hako ka peni alikokachomekea kwenye mfuko wake wa shati, naona ana fit profile ya wale walinzi kutoka serikalini ambao huwalinda viongozi wa nchi.

Najua kwa nchi kama Marekani, wagombea urais wa vyama vikuu [Republican na Democrats na pengine hata wale wa kujitegemea kama Ross Perot] hupatiwa ulinzi wa Secret Service.

Sasa kwa Tanzania sijui. Kama kuna anayejua, itapendeza akitujuza wale ambao hatujui.

Manake kila nikimwangalia huyo jamaa naona kama vile anatoka kwenye hicho kitengo cha walinzi wa viongozi.

Kama anatokea huko, ni jambo ambalo ni la mwaka huu tu hususan kwa Tundu Lissu au ni ndivyo ilivyo miaka yote ya uchaguzi?
Ni miaka yote ya uchaguzi

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Ndio huyo huyo ndie atakaetumiwa kumuwekea SUMU kwenye maji

Usalama wa taifa katika nchi ya Tanzania wote wanatumiwa na CCM..

TISS ni department ya CCM,..
Mi mwenyewe nitawashangaa Chadema wakikubali ulinzi wa TISS.

Nchi hii unaposema usalama wa Taifa ni sawa na kusema Usalama wa CCM.
Sasa ccm itamlinda lisu kweli!!?
 
View attachment 1601611

Katika kipindi hiki cha kampeni za urais, nimekuwa nikimwona huyo jamaa aliyevaa ‘Kaunda suti’ ya buluu hapo kwenye picha, akiwa pembeni ya Tundu Lissu karibu kila sehemu.

Nikiangalia mavazi yake pamoja na hako ka peni alikokachomekea kwenye mfuko wake wa shati, naona ana fit profile ya wale walinzi kutoka serikalini ambao huwalinda viongozi wa nchi.

Najua kwa nchi kama Marekani, wagombea urais wa vyama vikuu [Republican na Democrats na pengine hata wale wa kujitegemea kama Ross Perot] hupatiwa ulinzi wa Secret Service.

Sasa kwa Tanzania sijui. Kama kuna anayejua, itapendeza akitujuza wale ambao hatujui.

Manake kila nikimwangalia huyo jamaa naona kama vile anatoka kwenye hicho kitengo cha walinzi wa viongozi.

Kama anatokea huko, ni jambo ambalo ni la mwaka huu tu hususan kwa Tundu Lissu au ni ndivyo ilivyo miaka yote ya uchaguzi?
KAMA NI YEYE KWELI...SASA WAKATI WA MABOMU NA MAWE ANAKUWA WAPI? MAANA NAONA LISSU AKISIMAMA MBELE NA KUJITETEA PAMOJA NA KUWAHOJI POLISI PEKE YAKE, NANI ANAMLINDA MWENZAKE HAPO,,,?
 
Hapo imetumika mentality ya Mchawi Mpe Mwanao Akulelee. Mana angetumia walinzi tofauti na we Serikali wangeweza mdhuru wakasema walinzi wake hawana sifa. Kwa sasa chochote kitakachotokea, watakao banwa no Serikali.
Acheni nadharia mfu ni takwa la kisheria mgombea urais kupewa mlinzi na serikali hata Hashim Rungwe anaye.

Na mlinzi wa Lissu aliyepewa na Serikali ni yule dogo mfupi.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Mmoja kapewa na serikali mwingine toka kampuni binafsi ya Ulinzi.
 
Walinzi wa serikali toka lini wakatembea na majambia? Ila ulinzi wa kweli huutoa Mungu maana imeandikwa amelaaniwa yule amtegemeaye binadamu mwenzake kama kinga.

Haya mengine huwa ni protocol za kidunia tuu maana pia tuliambiwa tutii mamlaka zilizowekwa hapa Duniani ila ulinzi wa kweli na uhakika ni wa kupiga goti na kufanya maombi.

October 28th tujitokeze kwa wingi tukampe kura za ndio JPM maana ni Kiongozi aliyetukumbusha kumlilia Mungu tulipokuwa katika nyakati ngumu za Covid 19.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Siyo majambia tu walinzi wa JPM wanatembea na

Bomb detectors pamoja na AC

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
View attachment 1601611

Katika kipindi hiki cha kampeni za urais, nimekuwa nikimwona huyo jamaa aliyevaa ‘Kaunda suti’ ya buluu hapo kwenye picha, akiwa pembeni ya Tundu Lissu karibu kila sehemu.

Nikiangalia mavazi yake pamoja na hako ka peni alikokachomekea kwenye mfuko wake wa shati, naona ana fit profile ya wale walinzi kutoka serikalini ambao huwalinda viongozi wa nchi.

Najua kwa nchi kama Marekani, wagombea urais wa vyama vikuu [Republican na Democrats na pengine hata wale wa kujitegemea kama Ross Perot] hupatiwa ulinzi wa Secret Service.

Sasa kwa Tanzania sijui. Kama kuna anayejua, itapendeza akitujuza wale ambao hatujui.

Manake kila nikimwangalia huyo jamaa naona kama vile anatoka kwenye hicho kitengo cha walinzi wa viongozi.

Kama anatokea huko, ni jambo ambalo ni la mwaka huu tu hususan kwa Tundu Lissu au ni ndivyo ilivyo miaka yote ya uchaguzi?
Analindwa na Mungu na 'people's power' ulishaona wapi usiyempenda ukampa ulinzi kwenye zile picha wanazozichukua polisi pia wamo wanazichukua kwakifupi akili za mbayumbayu changanya na za kwako.'uchaguzi huu niwakihisitoria' hadi wengine wanapiga magoti unaona kabisa mawasiliano ya obolongata na mdomo yanakatika 'no cordination between the brain and the mouth, that is what you speak to the audiance does not reflect the reality in the community you are addressing,as your leadership might be the cause but you start blaming them'
 
Back
Top Bottom