Uchaguzi 2020 Hivi Tundu Lissu amepewa ulinzi na Serikali?

yaani waliotaka kumuua wamlinde?
hii ni mentality kutoka sayari gani hii?
Hapo imetumika mentality ya Mchawi Mpe Mwanao Akulelee. Mana angetumia walinzi tofauti na we Serikali wangeweza mdhuru wakasema walinzi wake hawana sifa. Kwa sasa chochote kitakachotokea, watakao banwa no Serikali.
 
hii ni kwa serekali yenye akili inayo think straight, siyo hii twisted!
 
Ndio JPM gari 30 za walinzi plus helicopter ,makirikiri bado unaamini analindwa na Mungu?au ndo ubongo mdogo tunafikiria kupitia masaburi
 
Uchaguzi ujao gombea utapata jibu, wagombea wote umemuona Lissu tu.
Mbona unaandika kama vile umeona mi nimemsema vibaya Lissu?

Mi nimeuliza tu.

Na ndiyo, Lissu ndo mgombea mpinzani mkuu wa Rais Magufuli.

Sikuona haja ya kuuliza kuhusu Membe wala Rungwe..
 
Ndio JPM gari 30 za walinzi plus helicopter ,makirikiri bado unaamini analindwa na Mungu?au ndo ubongo mdogo tunafikiria kupitia masaburi
Analindwa na Mungu haswaa hayo mengine ni protocol za kidunia alishaambiwa atii mamlaka zilizowekwa Duniani ila Mungu na sala za wananchi wazalendo ndio Silaha zake.

October 28th kura za ndio ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Ukiwa tu mgombea lazima upewe ulinzi na serikali hiyo ni lazima.. kwa lissu walinzi anao wa serikali ila kidogo inaweza kuwa ngumu kuwawekea dot moja kwa moja ila anao na wanaendelea na majukumu yao.. alasivyo Kama angekuwa hajapewa lissu angekuwa ameshalalama zamani sana..😂
Mkuu hata rungwe wa chauma anao Tena alilisema hilo kwa mdomo wake fatilia mahojiano yake pale ITV.
 
Mbona unaandika kama vile umeona mi nimemsema vibaya Lissu?

Mi nimeuliza tu.

Na ndiyo, Lissu ndo mgombea mpinzani mkuu wa Rais Magufuli.

Sikuona haja ya kuuliza kuhusu Membe wala Rungwe..
Umesema tangu mwanzo umekuwa ukifuatilia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…