Uchaguzi 2020 Hivi Tundu Lissu amepewa ulinzi na Serikali?

Sawa boss ila pitia hapa uone upendo wa watanzania kwa JPM
 

Nje ya mada wakuu. Hivi mtarajiwa rais NI YEYE. alishasema akiwa rais atawakamata waliompiga lisasi 16??? Au kuna kitu anajua ambacho ataki kukisema? Maana DAB atakua na hari mbaya uko aliko
 
Lisu alivyokuja alikuwa na walinzi binafsi lakini baadae wakabadilishwa na kupewa wa serikali
Hata yeye mwenyewe amewahi kusema Kila anapoenda Kuna mapolisi nyuma yake wanamlinda
 
Oh ok. Sikujua hilo.

Basi huenda huyo jamaa ni wa kutoka serikalini...
Serikali hii ikikupatia mlinzi kutoka kwao basi hapo unakuwa umejimaliza mwenyewe kwasabb huyo mlinzi atakuwa ni mpelelezi na mambo yako yote unayopanga atayapeleka upande wa pili.
Pia anaweza hata kukuwekea simu ilimradi atimize KAZI aliyotumwa yaani Kwa kifupi ni ngumu Sana Kwa vyama vingine kupewa walinzi wanatoka serikalini. Kila chama wanagharamia wao wenyewe walinzi wao haiwekan mtu wa TISS aje kumlinda LISSU
 
Àpewe uinzi wa kazi gani , kama sio uharibifu wa kodi za wananchi

sent from HUAWEI
 
Reactions: T11
Wapiga kura wapo 29M sasa umeniattachia watu wanne kweli...nyie subirieni CCM ndio magwiji wa siasa za Tanzania asubuhi mapema October 28th JPM anajibebea kura za ndio.

Tarehe 29 October aliyechukua nafasi ya pili atakuwa kwenye pipa safari ya Brussels.

Tusisahau October 28th kura zote za ndio ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Saa boss..pitia na hapa uone mwenyekiti wako alivyovurugwa.
Your browser is not able to display this video.
 
Hao ni walinzi binafsi wa Lissu na wametokea nje ya mipaka
Wacha ujinga wewe! Kuna mlinzi kutoka serikalini hapo, ni yule dogo anapiga miwani. Huyo aliyechomeka ki pen ni mlinzi binafsi kutoka CHADEMA! Namfahamu tangu siku nyingi! Ila yule jamaa anayebeba mkuki mgongoni huyo sijamwelewa kabisa anamaanisha nini?
 
Wanatumia vigezo gani?
 
Mi mwenyewe nitawashangaa Chadema wakikubali ulinzi wa TISS.

Nchi hii unaposema usalama wa Taifa ni sawa na kusema Usalama wa CCM.
Sasa ccm itamlinda lisu kweli!!?
Hapana kwenye suala la ulinzi hakunaga itikadi.sababu kubwa n kwamba kitengo cha ulinzi kinaamini kila mgombea ana possibility kuwa Rais...hakuna ubaguz
 
wagombea wote wa uraisi wa Tanzania wamepewa walinzi wa serikali kwaajili ya usalama wao, pia hata yule mgombea ambaye hatajwi popote nae amepewa mlinzi na serikali
 
Hapana kwenye suala la ulinzi hakunaga itikadi.sababu kubwa n kwamba kitengo cha ulinzi kinaamini kila mgombea ana possibility kuwa Rais...hakuna ubaguz
Sizani kwakweli mkubwa wangu kwani TISS imegawanyika katika vitengo vingapi?
 
Wanatumia vigezo gani?
Ukiacha kitengo cha propaganda cha TISS ,kigezo kinachotuma ni kuwapa ulinzi wagombea kwanza ni kuimarisha ulinz kwa wagombea wasije kudhurika na watesi wao ,pili political part substitute nani (mbadala wa chama kilichopo madarakani).kingine n kwamba mgombea yoyote wa Urais n Rais mtarajiwa.
 
Sizani kwakweli mkubwa wangu kwani TISS imegawanyika katika vitengo vingapi?
Kuna kitengo cha propaganda na spinning
Sizani kwakweli mkubwa wangu kwani TISS imegawanyika katika vitengo vingapi?
TISS imegawanyika idara 4.
1.idara ya kukusanya taarifa za kila sekta
2.Idara ya ulinzi
3.Idara kuzuia ugaidi na magendo na biashara haramu
4.idara ya protocol ya viongoz wa kigeni
5.idara ya mahusiano na maendeleo ya jamii.

Ndan yake ndo kuna vitengo mbalimbali
Kitengo cha propaganda na spinning
Kitengo cha kufanya vetting ya viongoz
Kitengo cha siasa na uchumi
Kitengo cha uporaji mali(hiki ni siri)
Kitengo cha sayansi na teknolojia
Kitengo cha dawati la Rais aliyeko madarakani
Kitengo cha kumdhoofisha Rais aliyeko madarakani n.k n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…