Hivi tungekodi kampuni ya Uingereza kuchunguza makinikia tungejua tulichojua?

Yes ili kuweka good terms, na ndio maana wakatoa Dola milioni 300 na mkataba ulisainiwa upya ili kuinufaisha TZ kitu ambacho hakijawahi kufanyika tokea TZ imeanza kujihusisha na masuala ya madini
Mkataba upi unaoweza kulinganisha na $190 Billion?!

Hivi una habari hata Capital Gains Tax hawakulipa wakati sheria inasema ukiuza shares unatakiwa kulipa capital gain tax?

Na suala la mkataba kusainiwa upya, thanks to Sheria ya Madini ya mwaka 2010, ambayo ilianza kutumika 2012 ambayo inasema mikataba inatatakiwa kuangaliwa upya kila baada ya miaka 5.



Na hata suala la sisi kumilikishwa shares za "Acacia" ni matokeo ya hiyo Sheria ambayo ilianza kutumika 2012!


Kwahiyo SIO KWELI kwamba ni amsha amsha za JPM ndizo zilileta hizo mambo, bali aliingia madarakani wakati keshatenegenezewa sheria ya kufanya alichofanya! Labda apewe credit ya kupata 16% kama unaamini rais mwingine angewezesha kupatikana chini ya 16% lakini suala la kumilikishwa, lipo kisheria, na SHERIA HIYO HAKUINZISHA YEYE!!

Hapo kabla hilo halikufanyika kwa sababu, kama nilivyosema, hiyo sheria imeanza kutumia 2012, na review of dev agreement inatakiwa kufanyika after every 5 years.
 
Mkuu, ile hela ilikokotolewa kuanzia wameanza uchimbaji mpaka leo tokea awamu ya tatu mpaka sasa, na ilionesha ni kiasi gani wamekwepa kwa muda wote huo na je lilikiwa kosa la nani kurihusu upigajiwa dizaini hiyo???
Upo sahihi... tawala za awamu zilizopita ambazo JPM hakuwa sehemu ya tawala hizo!!
 
kmbwembwe chukua toka kwangu. Ripoti ya Mruma iliandikwa kitaalamu ila ilipofika kwake akaichakachua isome Kilo 7 badala ya gramu 700.

Kama angekuwa haja hakachua basi tungepata Ile USD 190 Billion
Mmh ukoloni wa kisasa uujui wewe yani utawaliwe alafu umdai mtawala wako ata kama ni hailki yako upewi
 
Stuxnet kama Dkt Magufuli alitudanganya kwenye makinikia acha ahukumiwe huko aliko ila kama watanzania alituambia ukweli basi wewe Stuxnet upate ajali uvunjike miguu yote ila ubaki na mikono ya kuja kushuhudia hapa. Ukiomba msamaha utapona.
Ulemavu wa ubongo ni mbaya kuliko wa maungoni na hauna dawa wala speak. Pole Mudawote kama bado unamuamini Magufuli.
 
Tutayaona mengi. Hivi wateule ambao ni watoto wa viongozi wastaafu ni wateule au lazima wapewe vyeo.
 
Asante Chige kwa madini unayomwaga. Tusichoke tuendelee kuwasomesha japo level ya Magufuli brainwash si ya kitoto
 
Halafu ndugu yangui @TUJITEGEMEE, Serikali ya Mzalendo Magu ilipeleka wapi 30% yetu ya Capital Gains Tax?
Swali zuri sana hili. Kwa haraka haraka Aulizwe waziri wa fedha wa wakati huo na CAG wa wakati huo na wasasa hivi, maana bado mnao. Huku mimi nikiendelea kupekua Makabrasha yangu juu ya jambo hili.
 
Just Distinctions una kichwa kigumu sana kuelewa. Sijui waalimu wako walihangaika kiasi gani kukuelewesha. Tumekuambia container la 20 ft lina 0.7kg za dhahabu. Ukokotozi wa Magufuli uli base kwenye takwimu za uwongo za 7.0 Kg kwa container.

Kila kinachofuata hapo ni UBATILI MTUPU
 
Ulemavu wa ubongo ni mbaya kuliko wa maungoni na hauna dawa wala speak. Pole Mudawote kama bado unamuamini Magufuli.
Nakuhakikishia iko siku si nyingi wazalendo wataichukua hii nchi na kutawala tena, kinatakachofuata ni kuwaua watu kama ninyi mnaoendekeza uporaji wa rasilimali za nchi yetu, tutawaua wote kabisa ili wabaki wazalendo wenye moyo wa huruma na uadilifu kwa Tanzania ya vizazi vya sasa na vijavyo.
 
Look at you! Kama ni JPM ndie anastahili sifa za hizo barabara, kwanini sifa za SGR hapewi Waziri wa Ujenzi?! Kwanini hizo makinikia unazosema, sifa usimpe Waziri wa Madini?! Au ndo ile "chako ni changu na changu ni changu"!
Kwani hao wengine walikuja kua rais wa jamhuri? Hapa tunaangalia trend ya mtu aliyekuja kua rais. Tukimuangalia samia sijui tuna cha kueleza kipi maana urais umemuangukia kama embe dodo.
 
Mimi nakuuliza makinikia yako wapi? Au tumepata kiasi gani kutokana na Makinikia?
 
Makinikia sasa yanakwenda kama makinikia sio kama mchanga. Kinacholipwa sasa sio kile cha mchanga. Hii ni mojawapo ya faida za ule uchunguzi.
Yanakwenda vilevile hakuna kilichobadilika.
 
Kwani hao wengine walikuja kua rais wa jamhuri? Hapa tunaangalia trend ya mtu aliyekuja kua rais. Tukimuangalia samia sijui tuna cha kueleza kipi maana urais umemuangukia kama embe dodo.
Alikuwa na kauli ipi ya kumzidi rais hadi awe na uwezo wa kuifanya bajeti ya wizara ya ujenzi kuwa kubwa zaidi kuliko wizara nyingine? Hivi kwa akili yako unadhani Mzee wa Msoga alishindwa kutoa bajeti kubwa zaidi kwa wizara ya maji au hata elimu na afya badala ya bajeti kubwa kuipa wizara ya ujenzi?
 
Swali zuri sana hili. Kwa haraka haraka Aulizwe waziri wa fedha wa wakati huo na CAG wa wakati huo na wasasa hivi, maana bado mnao. Huku mimi nikiendelea kupekua Makabrasha yangu juu ya jambo hili.
Na trilioni 450 tumuulize nani 😀? As far as I know hao kazi yao ni kukagua vitabu tu lakini Rais Mzalendo na Team yake ya akina Kabudi ndio walitakiwa kuhakikisha Capital Gains Tax inalipwa kwa sababu walikuwa kwenye mchakato mzima kuanzia hatua ya kwanza hadi ya mwisho!!
 
Umeandika kwa hisia zako....
 
Asante Chige kwa madini unayomwaga. Tusichoke tuendelee kuwasomesha japo level ya Magufuli brainwash si ya kitoto
Hapo pa level ya Magufuli naomba ni-declare kitu!!

Wakati wote niliamini hakuna Rais atakayemzidi JK kwa usanii lakini alipoingia JPM, kiwango chake cha brainwashing ni level zingine!!

Lakini ukiangalia sana, Viongozi wote duniani wenye silika ya JPM na kujifanya wazalendo sana, ndio wanaoongoza kwenye brainwashing na wapo vizuri katika hilo!! Viongozi wa aina huwa wanaingia akilini mwa watu baada ya kujua wnapenda kusikia nini na hatimae kuwaaminisha kama si yeye nchi haiwezi kufika popote!!
 
Si bora huyu mwenye elimu ya form four ambaye akili yake ya asili haijavurugwa kuliko mnaodhani haya ni mambo ya kuchekelea? Hampangi kuwezesha watanzania miaka zaidi ya 60 ili wajenge uwezo wa kuamua kuhusu rasilimali zao bado mpo busy kusema hatuna wataalamu; no wonder Magungo baada ya kuoga na mzungu akajiona yupo sawa naye what a shame in this 21st century kuwa tegemezd hata kwa mambo ya wazi na rahisi kama maamuzi tu!
 
Bora hiyo brainwashing ambayo imeacha physical assets kuliko hizi zingine ambazo zinaishia kuwaona binadamu waki nawari wao na vizazi vyao huku the rest wakiendelea kuwa beggars!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…