Wao walishatuomba lini tukawaibulie kashfa zao?Mbona kwenye kashfa ya Tegeta Escrow kampuni ya kiingereza ya SFO iliibua madudu? Mbona PwC/E &Y ilichunguza kashfa ya Richmond na kuibua madudu. In fact madini yetu huwa yanakaguliwa na kampuni za nje maana kwenye biashara za kimataifa lazma uwe na global recognized firms kusimamia soko kma SGS. Nani ataamini ripoti ya Mruma ilihali hata maabara kubwa za kijiolojia hatuna? Na ndio maana hata kesi za kibiashara zinaenda ICSID ili kuwepo na neutrality otherwise kila nchi ingevutia kwake mashauri hayo.
Hata CCM ilani yake imeandikwa na wasomi wa nje kutokea Ghana na wengine uchina n.k sasa ukidhani uzalendo ni kuchukua mtanzania tu bila ya experience wala uweledi then utakua na shida kubwa sana.
Kingine mambo ya sayansi methodology zinafahamika so kama mtu akidanganya una uwezo wa kufuata methodology aliyoandika pale na utapata majibu ya kuprove. So hta makinikia kma ingekuja taasisi huru pengine ingekua neutral kuliko kina Mruma coz tyr Rais alikua ana majibu kabla ya uchunguzi so wasingeweza dissapoint.
Science science, ipi hiyo ambayo sisi wafrica tumeshindwa kui copy mpaka tue delee kuwa tegemezi kwa kiwango hiki? Ninyi ndugu zetu ndiyo vikwazo vikubwa kwa bara letu na ukute ndiyo mnaotuamulia mambo yetu kwa pretext kuwa hakuna anayeweza kwakua ninyi mkiji asses hamuwezi.....Achieni watanzania wanaoweza waingie na muone mambo yanavyobadilika!
Daah mtu unaumia mpaka unaona roho inataka kutoka