Hivi uadui wa uisilamu na USA upo kweli? Ulitokana na nini?

90% ya waislamu Tz,wanaamini USA inachukia uislamu kisa uislamu unakataza ushoga..
Ndio maana nkauliza Kuna ukweli hapo?
Ni ufinyu tu wa akili.

Mimi nauchukia sana ushoga ila nikiona mtu anauelezea kuwa ndo sababu ya chuki ya US kwa waarabu naona kama ana mtindio fulani hivi.

Hata humu jf hao viazi wamo wengi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao waislam waliounda hayo makundi ya kigaidi wanaamini kwamba Marekani ni kikwazo cha mkakati wao wa "Global Jihad Mission" kufaulu. That's all.

Wanaamini kwamba wanaweza wakaeneza imani yao kwa nguvu duniani na kushurutisha wote waamini katika imani yao kitu ambacho hakiwezekani na ikifika hapo hata hao warussia na wachina wanaowasifia mara kwa mara hawawezi kukubali huo upumbavu.
 
90% ya waislamu Tz,wanaamini USA inachukia uislamu kisa uislamu unakataza ushoga..
Ndio maana nkauliza Kuna ukweli hapo?
Saud Arabia ndio rafiki mkuu wa marekani Qatar ni puppet wa marekani , Israel anatoa support kwa Azerbaijan (nchi ya kiislamu) kuwadunda Armenia (nchi ya kikristo) ubepar hauna dini wao ni Hela tu sasa wewe danganywa uko na masheikh wako wa darasa la saba
 
Shida sio dini Wala race yao bali ni rasilimali walizonazo? Ni kwanini Sasa kila mtu huwa anataka kuhusisha dini na huu mgogoro?
Ni kwa sababu watu wengi hawasomi,hawafatilii historia na hawajui jinsi dunia inavyo operates especially cultural,economically na politically.
 
Kwani ukristo ulieneaje duniani,si kwa nguvu hivyo hivyo sasa hapo utofauti ni nini?.Ni kweli hayo Makundi yanaundwa na USA kwani ni uongo??
 
Sio Saud Arabia ya MBS
 
Na je USA hakuna waislam wanaotokea nchi za kiarabu?
Je USA hakuna waislam wa kimarekani?
Je USA haifanyi biashara na nchi za kislam maana nafahamu UAE wana ndege zao zinakwenda USA daily
 
Waislam ni dini inayopigania haki za binaadam. Amerika hawataki hivyo

Haki ipi ya kuua raia hovyo kisa imani za dini,uislamu umekua tishio katika amani ya dunia hii,kila penye waislamu wengi kuna mvunjiko mkubwa wa haki za binadamu.

Angalia hapa

Muislam na muislamu-vita
Muislam na mkristo-vita
Muislamu na mbuddha-vita
Muislamu na mhindu-vita
Muislamu na myahudi-vita.

Hakika uislamu ni dini ya shetani.
 

Kutawala dunia sio jambo dogo,lazima uwe na mikakati mikubwa itakayo kulinda na kulinda position yako,ikiwemo hata kuua wengine,the rule of the jungle.
 

yaani hayo mawazo ndio ambayo kuna baadhi ya watu wa faida zao wanataka muendelee kuamin hivyo.. kama ukisema Nchi ambayo inachukia waislam au hatwaka dini zingine.. ungeitaja China.. unataja marekani ambapo misikiti imejaa. ugomvi wa USA na Baadhi ya Nchi za Kiarabu ni Maswala ya kimaslah zaidi na wala sio mambo ya kidini..

ni sawa na ugomvi waliokuwa nao zaman na Japan na baadae China.. au na Cuba, venezuela na wengineo.. hii wazungu wanakwammbia Nothing personal its just Bussness.. so Wazungu hawa hawa watawala wa dunia hawaamini kwenye mambo ya Dini sio hawajali unaabudu nin.. ugomvi wao ni pale unapoingilia maslah yao ..

USA na EUROPE ni wale wale so huwez kusema USA anaugomvi na Waislam wakat ana misikiti kibao na ana uhusiano wa akaribu na Nchi za kiislam nyingi tu

ila baahdi ya Nchi za kiarabu wengine walivyo wajanja wameamua kutengeneza sypmthy kwa kuleta udini kwenye maugomvi yao .. ili ionekane USA hapendi uislam.. usichokijua wale hawaamin kweny dini so hata ukristo kwa sio issue..

we jiulize Saudi ni nchi ya kislaam wana hukumu za kuchinja hadi leo ila wawekezaji wa kubwa wa Emirate ni wazungu na mpaka leo wana uhusiano poa.. na kila mtu hapo anamtumikia kafiri apate kitu Saudia anafumba macho kwa Europe apate dollari Europe nae anafumba macho kwa Saudia akitenganisha viwiliwili vya watu apate malighafi

ila Iraq na ghadafi wameingilia maslah ya wazungu wakawaundia zengwe kuwa hakuna haki za binadam ila kwa Saudia anafunika kombe... rejerea kesi ya kagashogi aliechinjwa na kusagwa kama Beefna Saudia tena ugenenini.. ubalozini na wazungu wote wamepiga kimya. sasa wangekuwa iran sasa
 
Adam kazaliwa mashariki ya Kati
Yesu kazaliwa Palestina uarabuni
Mtume wetu kazaliwa Makka
Hakuna mtume aliezaliwa Vatican. Kama unae mlete hapa. Hujui kitu unashabikia kama unashabikia ngoma
Hakuna Yesu aliyezaliwa Palestina. Yesu alizaliwa Bethlehemu, Israeli.

Wakati wa Yesu hakukuwa na jina linaloitwa Palestina.

Aliyezaliwa Palestina atakuwa Isa wa kwenye Quran ambaye mmemtenga na hamupendi kumtaja kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…