Kama una mke na watoto na 10 percent ya wazazi au kazaidi, basi weka mambo sawa kwa wakili zaidi ya mmoja, na wengineo zaidi ya wawili wasio mawakili na kila mmoja asijue umeacha kwa nani mwingine wajione ni wao tu.. wale wanaopeleka nawe RITA wasijuane au kujua unaojua wana tamaa haswa ndugu na jamaa. Huko pia zinafukunywa hata kubadilishwa.. ni maombi tu muhimu. MKEO/watoto au Wazazi kama umeoa nao waachie waajione kama wanayo wao.. wafunze kunyamaza kuona wanaojitokeza watasemaje..
Kuna story nyingi za majanga ya haya, wengine Miaka mingi hawajafika popote, wajanja wanauza au kutapanya mengi tu haswa utapeli ukiingia na kama haukuacha maneno kizaidi. Kama umezaanje hayo mmmmh mengine hapo...