Hivi ukija kujua hili kama wewe utafanyaje?

Hivi ukija kujua hili kama wewe utafanyaje?

Inakuwa siri ya familia, maisha yanaendelea...

Dont complicate life.
 
Daah hii ngumu kumeza, itakutafuna na kukuua taratibu

Cha kufanya kama mimi ni kupuuza tu na kuukubali ukweli huo
 
Kama kesi za mama wakwe wa kileo kuwataka waume za binti zao zipo nyingi sana basi hata hili linaweza kuwepo.

Kuna jamaa alikuwa dreva wa familia ya mjane mmoja akawa anapiga mashine mama na binti yake bila wao kujuana ila mwisho wa siku wote wakashika ujauzito.

Ile mama kumhoji binti ya nani ile mimba binti kajibu kuwa ni ya dereva wao kwa ujasili kabisa mama kaishia kutukana kwa sauti na kumwita yule dereva ni mbwa haiwezekani ampige mama mtu na mimba binti yake.

Mama na binti yake walihama mji na haijulikani yaliyoendelea huko.
Sasa kama imetokea kwako au kwa jirani ni kusamehana na maisha kuendelea ila yule jamaa apigwe chini sijui😊
 
Kuna nchi fulani sikumbuki vizuri,mwanaume alioa mke na mama mkwe
 
Hivi ukija jua mdogo wako tena kipenzi ni mtoto wa mume wako ambaye amezaa na mama yako utafanyaje?

Naomba ushauri positive not negative.

View attachment 2090994
Kaa pembeni, mwachie mama na tamaa zake, tafuta mtu mwingine, uombe asianguke na mama yako. Inaelekea Mama yako bado kijana kiasi cha kuweza kuzaa licha ya kuwa na mtoto aliyeolewa tayari.
 
Suala sio tu utafanyaje. Hebu elezea vizuri. Umeuliza kama fumbo, ndio maana kuna mdau kakujibu umeolewa na baba yako, na hajakosea. Ulitakiwa kueleza kuwa huyo mdogo wako mmezaliwa na mama mmoja lakini baba tofauti.

Je, mdogo wako alizaliwa wakati ushaolewa au kabla? Mume wako alianza kula kuku akafuata yai bila kujua au alikuwa anakula vyote kwa pamoja, tena kwa makusudi.
 
Back
Top Bottom