Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Kama Mama alianza basi Mama, wewe na mwanaume wote ni washenzi...Sio mimi jamani hilo shutu la huyu jirani yangu ni kweli mama ndio alianza ila huyo dada hakuwa anaufahamu hadi majuzi hapa .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Mama alianza basi Mama, wewe na mwanaume wote ni washenzi...Sio mimi jamani hilo shutu la huyu jirani yangu ni kweli mama ndio alianza ila huyo dada hakuwa anaufahamu hadi majuzi hapa .
Bado sijaolewa nipo singleKama Mama alianza basi Mama, wewe na mwanaume wote ni washenzi...
Thibitisha kama kweli upo single na siyo wewe kwenye mada hiiBado sijaolewa nipo single
Mwaa! Sweety sweety wangu if your a manThibitisha kama kweli upo single na siyo wewe kwenye mada hii
Hiki Nini?? I am a man...Mwaa! Sweety sweety wangu if your a man
Umesema nidhibitishe kuwa nipo singleHiki Nini?? I am a man...
Ni ngumu kuthibitsha, maana hayo maneno unaweza yaandika tu bila kumaanisha...Umesema nidhibitishe kuwa nipo single
Nifanyaje uamini nipo single?Ni ngumu kuthibitsha, maana hayo maneno unaweza yaandika tu bila kumaanisha...
Toa muongozo...Nifanyaje uamini nipo single?
Hello bibieNifanyaje uamini nipo single?
Nipo kwa ajiri yakoNifanyaje uamini nipo single?
Mbona wapo wengi anakula Mama na mtotoKwa lugha nyepesi wewe uliolewa na baba Yako. Duniani mama aliyekuzaa hawezi ruhusu litokee hata asipokwambia Kwa nini!!!.
Wewe mmoja wapo!!!!!Mbona wapo wengi anakula Mama na mtoto
Hivi ukija jua mdogo wako tena kipenzi ni mtoto wa mume wako ambaye amezaa na mama yako utafanyaje?
Naomba ushauri positive not negative.