Hivi ukija kujua hili kama wewe utafanyaje?

Hivi ukija kujua hili kama wewe utafanyaje?

Kimeumana
FB_IMG_16429596549671114.jpg
 
Unataka kufanyaje??kuua mtu au

Hun acha kufanya zaidi ya kufanya litakalo kufanya uwe na amani baada mda ya kugundua ukweli huo
 
Khaaaaa inakuwaje mtu anat.omba mama mkwe!?

Duh siwezi hata kushauri kitu
 
Jamani wandugu, tunavyopita kuchovya chovya tuwe makini na hizi dhambi maana dunia imekaribia stendi.

Tukio 1. Jamaa karudi kwake usiku mkubwa ile kaingia bafuni meseji imeingia. Wife kasoma meseji " mpenzi umeshafika? Asante, ,leo umenito*****mba vizuri sana nimeinjoi kweli. Ila angalia dogo asijue" wife kuangalia namba, ni ya mama yake.

Tukio 2. Lori driver kakutana na ka binti katika ruti zake, kakapelekea bakora. Badae katika story za kufahamiana, dogo anataja jina lake kamili , dereva wa lory anashangaa jina ni lake, kuuliza jina la mama yake, mzee ni demu wake wa siku nyingi na anajua wana mtoto ila hakuwahi kumuona. Hapo tayari mama na mtoto wa damu wameliwa.
 
Hivi ukijajua mdogo wako tena kipenzi ni mtoto wa mume wako ambaye amezaa na mama yako utafanyaje?

Naomba ushauri positive not negative.


Unajikaza tu maisha lazima yaendelee..... Japokua ni ngum sana kuamini lkn ukikumbuka maisha lazima yaendelee unasimama unasonga mbele
 
Back
Top Bottom