Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Pole kwa yaliyokukuta dadaHivi ukija jua mdogo wako tena kipenzi ni mtoto wa mume wako ambaye amezaa na mama yako utafanyaje?
Naomba ushauri positive not negative.
View attachment 2090994
Kaa pembeni, mwachie mama na tamaa zake, tafuta mtu mwingine, uombe asianguke na mama yako. Inaelekea Mama yako bado kijana kiasi cha kuweza kuzaa licha ya kuwa na mtoto aliyeolewa tayari.Hivi ukija jua mdogo wako tena kipenzi ni mtoto wa mume wako ambaye amezaa na mama yako utafanyaje?
Naomba ushauri positive not negative.
View attachment 2090994
Automatically Mdogo wako anageuka Mwanao, Mumeo anakuwa Babako literally na Mama yako anakuwa Mke mwenzio..Hivi ukija jua mdogo wako tena kipenzi ni mtoto wa mume wako ambaye amezaa na mama yako utafanyaje?
Naomba ushauri positive not negative.
View attachment 2090994