Hata haina muda kaka wewe kuwa mwepesi tu .au haina uhusiano na wala hakuna muda muafaka? au mazingira yakiruhusu tu kazi iendelee?
maana naona mambo haya yanaendelea tu hadi msibani, na tena wengine ndio fursa kabisaa ya kuchepukia, si wafiwa wala waombolezaji.
au ni roho ngumu, watu hawana uchungu na wapendwa wao, ujasiri wa kipekee kupita kiasi, upwiru au laana?π
Hndomolaa kaka .maisha n sexau haina uhusiano na wala hakuna muda muafaka? au mazingira yakiruhusu tu kazi iendelee?
maana naona mambo haya yanaendelea tu hadi msibani, na tena wengine ndio fursa kabisaa ya kuchepukia, si wafiwa wala waombolezaji.
au ni roho ngumu, watu hawana uchungu na wapendwa wao, ujasiri wa kipekee kupita kiasi, upwiru au laana?π
Hapo mna boost moralina kwenye maandamano je inafaa?π
Ujawahi jua rahayakeeeWaulize wanaccm wenzako mbumbumbu , SHENZI KABISA, unapata Msiba alafu unawaza ngono ngono, na unakuta huyo wkaufanya naye ngono ,umepatana naye hapohapo msibani.
Sawa tu π sema linda sana hiyo njururu yako isije pigwa shabana kwenye maandamano je inafaa?π
πππWaulize wanaccm wenzako mbumbumbu , SHENZI KABISA, unapata Msiba alafu unawaza ngono ngono, na unakuta huyo wkaufanya naye ngono ,umepatana naye hapohapo msibani.
Mheshimiwa mbunge anasikitisha sana. Mwakani tunapeleka takataka nyingine bungeni.Mheshimiwa una hamu???
Sikubaliani na Hilo.Inategemea na connection aliyonayo mfiwa kwa marehemu.
Kuna mtu anaweza kufariki kwenye familia akawaacha waliobaki kwa maumivu makali Sana especially Kama huyo mtu ndo aliyekuwa breadwinner wa familia husika.
Sasa kwa maumivu hayo aliyowaacha nayo unadhani mtu atatoa wapi hisia za kufanya mapenzi?
Mtu atahitaji muda wa kutosha aomboleze roho itulie ndo aweze kuendelea na Mambo mengine Kama hayo.