Duu kwahiyo mnakuwa mmejifunika bendera au 🤩🤩🤩na kwenye maandamano je inafaa?🐒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duu kwahiyo mnakuwa mmejifunika bendera au 🤩🤩🤩na kwenye maandamano je inafaa?🐒
Machawa hamstahili kula mzigoau haina uhusiano na wala hakuna muda muafaka? au mazingira yakiruhusu tu kazi iendelee?
maana naona mambo haya yanaendelea tu hadi msibani, na tena wengine ndio fursa kabisaa ya kuchepukia, si wafiwa wala waombolezaji.
au ni roho ngumu, watu hawana uchungu na wapendwa wao, ujasiri wa kipekee kupita kiasi, upwiru au laana?🐒
wengine wanaweza kuwa na connection kubwa na marehemu lakini wakipata kile kitendo wanapata relief nzuri zaidi especially kwa womenInategemea na connection aliyonayo mfiwa kwa marehemu.
Kuna mtu anaweza kufariki kwenye familia akawaacha waliobaki kwa maumivu makali Sana especially Kama huyo mtu ndo aliyekuwa breadwinner wa familia husika.
Sasa kwa maumivu hayo aliyowaacha nayo unadhani mtu atatoa wapi hisia za kufanya mapenzi?
Mtu atahitaji muda wa kutosha aomboleze roho itulie ndo aweze kuendelea na Mambo mengine Kama hayo.
Kwani hayo mapenzi utafanya na marehemu? Kama nibu ni ndiyo basi muda mzuri ni kabla ya mazishi.au haina uhusiano na wala hakuna muda muafaka? au mazingira yakiruhusu tu kazi iendelee?