gentleman?Waulize wanaccm wenzako mbumbumbu , SHENZI KABISA, unapata Msiba alafu unawaza ngono ngono, na unakuta huyo wkaufanya naye ngono ,umepatana naye hapohapo msibani.
Hiyo ni huko kwenu vunjobasi msiwe mnaondoka na madaftari au pesa za rambirambi 🐒
Haina shida ni maamuzi yako tuu maana wwngine huko huko msibani ndo tunapata mademu au nambaau haina uhusiano na wala hakuna muda muafaka? au mazingira yakiruhusu tu kazi iendelee?
maana naona mambo haya yanaendelea tu hadi msibani, na tena wengine ndio fursa kabisaa ya kuchepukia, si wafiwa wala waombolezaji.
au ni roho ngumu, watu hawana uchungu na wapendwa wao, ujasiri wa kipekee kupita kiasi, upwiru au laana?🐒
Mimi nitapiga kabla ya kuzika , wakti wanazika na baada 🤣😂 kwahiyo mara 3 kama doz ya 3×3Mpaka marehemu afufuke.
Ukiona mtu ànaleta kisingizio mgonjwa huyo,au haina uhusiano na wala hakuna muda muafaka? au mazingira yakiruhusu tu kazi iendelee?
maana naona mambo haya yanaendelea tu hadi msibani, na tena wengine ndio fursa kabisaa ya kuchepukia, si wafiwa wala waombolezaji.
au ni roho ngumu, watu hawana uchungu na wapendwa wao, ujasiri wa kipekee kupita kiasi, upwiru au laana?🐒
Sasa kuna mmoja aliumwa, mke akavumilia ni ugonjwa baada ya mwaka mdogo wake akadariki, sasa kisingizio anamsiba mpaka 🤣🤣 mwaka wa Tano, mke wa marehemu Hadi ameshapata bwana, sasa huyo mke sahizi anaomba taraka asepe.Inategemea na connection aliyonayo mfiwa kwa marehemu.
Kuna mtu anaweza kufariki kwenye familia akawaacha waliobaki kwa maumivu makali Sana especially Kama huyo mtu ndo aliyekuwa breadwinner wa familia husika.
Sasa kwa maumivu hayo aliyowaacha nayo unadhani mtu atatoa wapi hisia za kufanya mapenzi?
Mtu atahitaji muda wa kutosha aomboleze roho itulie ndo aweze kuendelea na Mambo mengine Kama hayo.
Mbona makasiriko sana 🤣, sasa wengi akisafiri na misiba huko majumbanj ni tia maji tia maji kwahiyo huko ndiko wanapata fursa akirudi kwake mwepesi huyo mvivu akae na uvivu wake.Waulize wanaccm wenzako mbumbumbu , SHENZI KABISA, unapata Msiba alafu unawaza ngono ngono, na unakuta huyo wkaufanya naye ngono ,umepatana naye hapohapo msibani.
Mkuu pole sana kwa kuondokewa na mpendwa wako.au haina uhusiano na wala hakuna muda muafaka? au mazingira yakiruhusu tu kazi iendelee?
maana naona mambo haya yanaendelea tu hadi msibani, na tena wengine ndio fursa kabisaa ya kuchepukia, si wafiwa wala waombolezaji.
au ni roho ngumu, watu hawana uchungu na wapendwa wao, ujasiri wa kipekee kupita kiasi, upwiru au laana?🐒
🤣 🤣 🤣Mheshimiwa una hamu???
🤔🙄na kwenye maandamano je inafaa?🐒