Hivi ukipenda ni lazima unyanyasike?

Ati nisikiguse... Nisikuangalie... Nisikuongeleshe...

Nilipie nikupe usepe...

Ikikiukwa hata moja atakupasua wewe ati...
Basi mwambie atoe hofu

Vigezo na masharti vitazingatiwa maana ndio kwanza mwanzoni, tusije kosa fursa za badae bure kwa kukiuka masharti yake
 
Pole Ticha, we kula bata ukimaliza urudi ukafundishe, shule zinafunguliwa next wee
Naamini umpendae sio student
 
Moja ya kitu ambacho wazazi wengi wali/wanafeli ni kutowafundisha watoto wao toka wakiwa wadogo kuwa sio kila kitu ukipendacho unakistahili /kinafaa uwe nacho vipo vitu/kitu tunapenda lakini tuna viacha viende maana sio sahh kwetu au havistahili upendo wetu. Na matokeo yake ndio kama haya ya kuforce upendo au mapenzi usipo pendwa
 
Nimeacha Sasa jaman
 
Hivi mapenzi ya Sasa ni kupewa mbususu na kutoa Hela? Au upendo unaozungumziwa ni upi
 
Hivi mapenzi ya Sasa ni kupewa mbususu na kutoa Hela? Au upendo unaozungumziwa ni upi
Sahv Ata tamaa za kingono huitwa mapenzi na hapo ndipo unakuta mmoja ana tamaa ya pesa na mwingine tamaa ya ngono wanaungana wanahesabu wapo kwenye mahusiano ya mapenzi kumbe ni biashara.
Mkipendana,mbususu na pesa huja automatically
 
Kila kitu chaitaji kiasi, ukiforce sna ndo unapo umia ,ukiona anakusumbua kua humble Kaa tulia fanya mambo mengine yatakayo kusaidia kumtoa akilini mwako
 
Mapenzi yanatakiwa yawe 50-50 effort
Ukiona wewe ndio unatumia nguvu nyingi ujue hupendwi. Kila mtu anachukia cheap things, ukijishusha na kujirahisisha sana kwa kuamini ndio mapenzi lazima uchezee za uso. Ni issue ya kisaikolojia tu mtu kutothamini kitu anachoweza kuki access anytime tena for free kabisa.

Mapenzi hayatakiwi yakutese, yanatakiwa yakupe furaha, hopes n.k, ukiona unateswa na mapenzi fahamu kua haupo sehemu sahihi, ila ukiwa sehemu sahihi vitu vina flow vyenyewe tu bila kutumia nguvu kabisa.

Haijalishi mtu unampenda kiasi gani lazima na wewe muhusika utambue thamani yako "You have mass you occupy space You matter [emoji4]"
Cha muhimu upunguze kujionea huruma, uwe mtu wa kuchukua maamuzi magumu ukiona sehemu hakuna love just move on.

Watu weupe wana msemo wao unasema

"In three words I can sum up everything I have learned about life IT GOES ON"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…