Hivi ukipenda ni lazima unyanyasike?

Jipende wewe zaidi. Binadamu ni the most selfish..... Ukimpenda anakudharau anachukulia kama ni udhaifu
 
Watu humu kwa kuonesha misimamo ya ajabu ajabu hamjambo. Et penda kushoto mara nini. Ninyi semeni mnatamani na mnakua na watu msiowapenda basi. Ila upendo wa kweli hauwezi kujigawa wala kupretend. Yaan upende haswa then ujigawe acheni uongo bana.

Dear Sister pole. Ndio maisha kwa Kadri muda unavyoenda utakua Sawa. Usiogope kupenda ila kua makini na nani wa kumpenda.
 
Subiri wapungue PM kwanza, af ntakuja nkutoe ukapigwe upepo mwanana ufukweni.
Swali la kizushi, mwili wa kuvalia swim suit unao kwanza?
Pm wapo wachache sana hivyo waweza kumchukua nafasi, kuhusu mwili wa swim suit Sina niwe mkweli usije umbuka hata kuoga nami🤦
 
🤣🤣🤣So unasema haiwezekani kupenda kiupande upande mkuu
 
Pm wapo wachache sana Ivo waweza kumchukua nafasi,kuhusu mwili wa swim suit Sina niwe mkweli usije umbuka hata kuoga nami🤦
Hilo wala lisikupe shida kuhusu mwili. Ushaniambia kitambo kuwa wewe ni futi 5. Hicho ndo muhim kwangu.
Jiandae na mabegi nakuja chap kwa haraka.
 
Hilo wala lisikupe shida kuhusu mwili. Ushaniambia kitambo kuwa wewe ni futi 5. Hicho ndo muhim kwangu.
Jiandae na mabegi nakuja chap kwa haraka.
Sawa, nakusubiri... kikubwa usije niambia nirudi home.. nikija ndio nimekuja jumla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…