ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Tungekutokomeza ukaoze huko shimoni la hewaRevamping ya nchi kabisa na mifumo yake na kuadopt mikakati ya North Korea, KIM angekuwa mshauri wangu mkuu.
Ni kutest mabomu tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tungekutokomeza ukaoze huko shimoni la hewaRevamping ya nchi kabisa na mifumo yake na kuadopt mikakati ya North Korea, KIM angekuwa mshauri wangu mkuu.
Ni kutest mabomu tu.
Ukiniuliza mimi kinashindikana nini nadhani si sehemu sahihi kupata jibu la hilo swali. Mi ninachoona bado hawajafanya kazi zao ipasavyo, why? Hata mie sijui!!Kwani saizi kinashindikana nini kufanya hayo? Harafu swala la Watalii linategemea factor nyingi na zinazotegemeana.
Sawa mkuu, utakuwepo, muhimu uzalendo tu na kujitahidi kufanya kazi kwa haki kadri uwezavyo.niweke hata askari nitembee na misafara yako
Akili za kuwategemea wawekezaji kutoka nje ni akili za kutegemea wanyonyaji kutoka Ulaya.Hizi ni sera za Kijamaa ambazo zilishashindwa kitambo Sasa ukifanya tuu hivyo haitachukua round Uchumi utaporomoka na ukiporomoka ndio hapo Sasa sijui utapata wapi pesa za Kuendesha Nchi..
Hayo ukiyoyaeleza yanawezekana kama yatafanywa gradually ila wafanyabiashara/investors wakihisi hatari yeyote umekwisha broo maana watasitisha au kupunguza uwekezaji wao matokeo yake utaanza ku struggle Kuendesha Uchumi,waulize Wachina na Cuba..
Mwisho mambo hayo ya kupanda miti,mbogamboga yatakuwa na maana kama Watoto watakuwa wanakula wao shule Sasa sijui maji ya kufanya hayo everywhere yatatoka wapi na kama ni mvua itahitaji ujenzi wa miundombinu kitu ambayo ni pesa na hizo pesa unatoa wapi Kwa Sasa upeleke maji Kwa watu na zingine ujengee Water harvesting infrastructures huko kwenye mataasisi..
Eti Madaraja ya Vijijini yatajengwa na Wanavijiji,Kwa hiari au Kwa lazima? Na kama utaleta force account labda pesa ilipwe Kwa wanavijiji ila ikirudishwa Serikalini Kwa minajiri kwamba unaokoa gharama utaishia kuua sekta ya ujenzi kama Jiwe alivyofanya..
Mpaka hapa nimeona watu wanaweza kujifunza kwamba kumbe kuongea na kupayuka Kila mtu anaweza ila kwenye vitendo Sasa ni vitu viwili tofauti,Ruto na Yule Rais wa Zambia wanalijua hili vizuri Kwa Sasa.
Dekta ya ujenzi inatakiwa ifikie MAHALI pasiwe na ujenzi Wa kisiasa ubaki ujenzi Wa kisiasa Kama Barabara za juu . Madaraja ya juuu . Barabara Sita,Barabara za mwendokasi na za kulipia n.k. sio viujenzi vya Madaraja ya Kijijini Kuelekea kwenye mitaa au Mashamba ya watu Binafsi na makazi Yao. Hayo Kwa kweli Hata mkinipa Ubunge tu nitasimamia sana na kuchangia kwenye mfuko Wa Jimbo kuhakikisha Kila mtaa unapitika Kwa nguvu za wananchi kula vijijini.Hizi ni sera za Kijamaa ambazo zilishashindwa kitambo Sasa ukifanya tuu hivyo haitachukua round Uchumi utaporomoka na ukiporomoka ndio hapo Sasa sijui utapata wapi pesa za Kuendesha Nchi..
Hayo ukiyoyaeleza yanawezekana kama yatafanywa gradually ila wafanyabiashara/investors wakihisi hatari yeyote umekwisha broo maana watasitisha au kupunguza uwekezaji wao matokeo yake utaanza ku struggle Kuendesha Uchumi,waulize Wachina na Cuba..
Mwisho mambo hayo ya kupanda miti,mbogamboga yatakuwa na maana kama Watoto watakuwa wanakula wao shule Sasa sijui maji ya kufanya hayo everywhere yatatoka wapi na kama ni mvua itahitaji ujenzi wa miundombinu kitu ambayo ni pesa na hizo pesa unatoa wapi Kwa Sasa upeleke maji Kwa watu na zingine ujengee Water harvesting infrastructures huko kwenye mataasisi..
Eti Madaraja ya Vijijini yatajengwa na Wanavijiji,Kwa hiari au Kwa lazima? Na kama utaleta force account labda pesa ilipwe Kwa wanavijiji ila ikirudishwa Serikalini Kwa minajiri kwamba unaokoa gharama utaishia kuua sekta ya ujenzi kama Jiwe alivyofanya..
Mpaka hapa nimeona watu wanaweza kujifunza kwamba kumbe kuongea na kupayuka Kila mtu anaweza ila kwenye vitendo Sasa ni vitu viwili tofauti,Ruto na Yule Rais wa Zambia wanalijua hili vizuri Kwa Sasa.
Umeandika maelezo meeengi ila upuuzi mtupu hata sijamaliza kusoma..Akili za kuwategemea wawekezaji kutoka nje ni akili za kutegemea wanyonyaji kutoka Ulaya.
Wametupumbaza na kutudanganya sana Hawa mbweha wanaotegemea uwekezaji.
Washenzi kabisa ndio wanaoliua bara la Afrika.
Hivi Tanzania Kwa mfano inakosaje pesa wakati mabilioni ya pesa yanapotea mikononi mwa watawala na kwenda kunufaisha familia zao Kwa starehe na Anasa.
Ukifuatilia mikataba ya madini ni upumbavu mtupu
Unamleta mwekezaji kuja kuwekeza bili 100 ? Hivi serikali inayopoteza bil. 1500 kila baada ya miaka Mitatu ndiyo ya kumtafuta mwizi kutoka Ulaya kuja kuwekeza kwenye madini ya Vito vya thamani yanayoweza kuchimbwa na Wamasai wazawa?
Unawaita wezi na waporaji kuja kuwekeza kwenye kilimo Cha maparachichi badala ya kuwapeleka Vijana 500 waliomaliza SUA kwenda Huko nje kujifunza zaidi namna ya kulima maparachini na mazao mengine Kisha wakirudi unawapa mitaji Kwa kudhibiti matumizi ya hovyo ya watawala na wabunge na majaji. Unajua matumizi na stahiki za majaji wetu Kwa siku? Hii ni nchi Maskini lakini Kuna watu wanataka kuishi kama vile ni waCanada . Hao ndio wanaokuja na propaganda za kusema kuwa ujamaa umeshindwa . Huo ubepari ulioleta maendeleo Afrika ni upi? Kenya ni nchi ya Kibepari lakini wananchi wake ni maskini na watumwa kwenye nchi yao.
Rwanda Ina mfumo ambao sio ubepari wa ujamaa lakini wamepiga hatua na wananchi wake wanaopenda nchi yao. Ni suala la kupanga.
Watanzania Kwa asili ni wajamaa. Ni wezi na washenzi wachache wanaojipenyeza kwenye siasa Kwa rushwa ndio wanaodanganya watu kuwa eti bila misaada ya wazungu na mifumo yao hatuwezi Kupiga hatua. Na eti mfumo Bora Kwa Afrika ni ubepari .
Watanzania mpaka vijijini wanashirikiana kutatua changamoto zao. Sasa ukiwa na serikali isiyoweza kutumia wananchi wake kuleta maendeleo yao eti kuhofia kuwa ni sera za kijamaa ni upumbavu unaotokana na vichwa vilivyojaa wadudu wa rushwa .
Yaani Kijiji kina watu Kumi wanaomiliki magari na wanye hiashara za mazao na maduka halafu Kuna mto unakatiza Kijijini na mvua zikinyesha magari na hata boda boda hazipiti ,diwani yupo ,watendaji wapo , wenyeviti wa serikali za mitaa wapo, wajumbe wa kamati za siasa za Chama wapo Kuna DC n.k. Badala ya kuwaelimisha wale wafanyabiashara umuhimu wa kufanya Harambee za ujenzi wa Daraja Kwa Kununua sementi ,Nondo, mawe ,kokoto ,mchanga na kujitolea vibarua Kwa kupika chakula na mkuu wa Wilaya kumtoa maelekezo Kwa Engineer wa Wilaya na kwenda kusimamia ujenzi wa Daraja wananchi wapate huduma ,eti tusubiri Tarura wapate fungu na pesa za posho na wao wanawaza Kupiga kupitia ujenzi. Hao ndio wezi wanaosubiri mafungu ya serikali waibe wajenge Madaraja ya muda ,mvua zikinyesha yanasombwa ili kila mwaka unakua ni mradi wao wa Kupiga pesa za umma .Wanawacheleweshea watu maendeleo na huduma.
Mikoa iliyoendelea kama Kilimanjaro walifanikiwa kupata maendeleo Kwa haraka miaka hiyo Kwa Kasi kubwa sana bila kusubiri serikali.
Baada ya kuja mfumo wa vyama vingi Walikuja watawala wa ajabu ajabu wakajenga chuki Kwa watu wa mkoa wa Kilimanjaro na kuanzisha sera za kuzuia wananchi kufanya juhudi za kujiletea maendeleo . Yote yalifanywa na serikali kisiasa ili kuwakomesha wasioichagua CCM.
Kwa hiyo ni mpango kamili wa kukwamisha maendeleo uliwekwa Kwa Lengo la kuwakomoa wale waliokua wamechagua madiwani na wabunge wa vyama vya Upinzani!
Uovu na Mawazo ya kuwa kila kitu kifanywe na serikali na wafadhili Toka Ulaya ulienezwa na wezi na wanasiasa waliokua wanapata nafasi Kwa rushwa.
Watu Sasa wamebweteka wanasubiri Mbunge aje awajengee Daraja la kamba na mbao. Eti nchi ni maskini . Kumbe akili za watawala ndio zilizojaa ubinafsi.
Mbona wakati wa Kuomba kura na kampeni za kupata nafasi za uongozi wanawapigia magoti wafanyabiashara kuwachangia fedha na kutoa magari yao kwenye kampeni?
Hivi mtu anaweza akatoa pesa za Kununua Tishiti na Kofia za Chama Fulani halafu akashindwa kutoa pesa za kujenga Daraja atakalolitumia Kwa manufaa yake na vizazi vyake ?
Wanasiasa na mabepari Wanatumia Hila nyingi sana kuwafanya waafrika waendelee kuwa maskini Kwa manufaa yao.
Kwa waafrika kutegemea ubepari ni kuendelea kulifanya bara la Afrika kuwa ni shamba la bibi?
Yaani bonde Lina maji ardhini halafu watu wa Kata nzima wanasubiri Serikali ije iwachimbie kisima Cha Mil. 30 huku Waziri akiwa anarukaruka jukwaani na Mbunge kusifia mpaka kuwaita watawala miungu, badala ya watu kusema Sisi hatuna maji diwani toa Taarifa Kwa mkuu wa Wilaya na Mbunge kuwa tunahitaji TU mtaalamu wa maji kupima maji lakini tutachimba kisima wenyewe Kwa fedha zetu na hatuhitaji Idara ya maji kutupangia Bei.
Kwenye hayo maidara ndio Kuna wezi wanaohujumu wananchi Kwa manufaa yao . Kisima kinachimbwa wakiona kimetoa huduma wanawaza kuwa hawatapata GIA ya kumsifia mtu au Kiongozi Fulani mana ni nguvu ya umma imeleta maendeleo.
Eti mpaka mzungu atoke Ufaransa akawekeze Kongo badala ya kuweka mazingira mazuri ya kisiasa na kuwafukuza Wazungu washenzi kule Igoma na kuwakaribisha Wahaya , Wachaga , Wasukuma , Wakikuyu ,Wajaluo , Wakinga n.k kwenda kuzoa madini na kwenda kuuza India na China Kisha kupata Fedha nyingi na kuendeleza uwekezaji?
Waafrika tuamke tuna watu ,ardhi, tuna Rasilimali nyingi n.k . Tumekosa tu siasa Safi na uongozi Bora.
Kwa Nini tumlete Mwekezaji kutoka ULAYA Kwa ajili ya kulima michikichi,korosho ,mkonge , alzeti, miwa, parachchi, mahindi,Maharage, mbuzi, utalii, Hoteli, uvuvi, mbao. Vitu vinavyohitaji Teknolojia ndogo sana .
Hivi unajua Kule misri kuna madereva waliwahi kuteka biashara ya Usafirishaji ya Jiji la Kairo Kwa kupitia sera ya ujamaa.
Wale madereva walijiuliza kuwa Sisi tupo Elfu Moja tunaendesha Mabasi ya watu na kupeleka pesa kila siku ,je,tukiamua kuwa kila siku tuungane tuweke sh. 10,000/- Je, Kwa kila baada ya miezi SITA tutakua na sh.ngapi? Wakajikuta kuwa kila siku wanaweza wakakusanya mil. 10 ,wakaona kumbe kila baada ya siku Kumi wanaweza Kununua Coaster , wakaanza Zoezi , kila liliponunuliwa basi Moja Dereva mmoja alirudisha basi Kwa Tajiri bepari . Baada ya miaka Mitano hapakua na gari la bepari Bali magari yalikua ni ya madereva ndani ya Jiji .
Hofu kubwa ya mabepari ni wanyonge kuungana . Kuna rushwa kubwa sana inatolewa ili kuua miradi ya umma maana tayari watawala Wana hisa kwenye miradi binafsi wanayopewa na wawekezaji ili kuua miradi ya wananchi . Ndio maana wanapoingia madarakani wanakimbilia Kwa wafanyabiashara kuwekeza kule kijamaa. Ukiona mabilionea wapo Duniani sio kuwa kila mtu ana pesa yake peke yake Kuna mamia ya watu nyuma yake . Wanachofanya ni kuwafumba macho maskini waone mtu mmoja na kuamini kuwa wao hawawezi kuungana na kujikomboa kiuchumi.
Ujamaa tunaousema sio ujamaa unaopotishwa na mabepari kuwa eti kila mtu anapewa sawa hata kama hakufanya kazi. JAMBO ambalo sio kweli ,watu wanapewa huduma sawa kama vile miundo mbinu , Elimu ,Afya na maji lakini sio suala la uchumi.
Umesema suala la Maji . Hiví pakiwa na dhamira ya dhati kabisa , Shule inashindwa kuvuna Maji ya mvua yanayomwagika Kila basada ya miaezi minne na kupotelea ardhini na kusababisha mmomonyoka Wa ardhi .
Mapaa ya Majengo ya Shule yanaweza kuvuna Maji na kuyahifadhi kwenye matenki Kwa kiwango kikubwa sana .
Wivu tu unawaponza waafrika . Kila Kitu ni mpaka aseme au aandike Mzungu . Ni dhana ile ile ya Wizi ya kulinganisha Kila Kitu na ULAYA . Matokeo yake Idara kama Tanesco na Maji wanaweka mbele Maslahi Yao na kuhujumu juhudi za wananchi kujiletea huduma Kwa nguvu na Akili zao. Wanaona wakifunga kabomba kamoja la maja na kuweka umeme watakamua pesa za wananchi kupitia bili bila kujali Kuwa zile ni huduma dio biashara.
👏🏾👏🏾👏🏾😅Sawa mkuu, utakuwepo, muhimu uzalendo tu na kujitahidi kufanya kazi kwa haki kadri uwezavyo.
Aliyekuelewa anitag 😁😁Dekta ya ujenzi inatakiwa ifikie MAHALI pasiwe na ujenzi Wa kisiasa ubaki ujenzi Wa kisiasa Kama Barabara za juu . Madaraja ya juuu . Barabara Sita,Barabara za mwendokasi na za kulipia n.k. sio viujenzi vya Madaraja ya Kijijini Kuelekea kwenye mitaa au Mashamba ya watu Binafsi na makazi Yao. Hayo Kwa kweli Hata mkinipa Ubunge tu nitasimamia sana na kuchangia kwenye mfuko Wa Jimbo kuhakikisha Kila mtaa unapitika Kwa nguvu za wananchi kula vijijini.
Ukitegema Ujenzi ni milele tutakua tunajenga Madaraja ya vijijini mana wanakijiji wanakimbilia Sehemu zenye fursa ya kilimo kujenga na KUFANYA shughuli zao.
Umaskin mbaya sana wajamenHapa mnaotaman kuwa viongozi tuone experience
mambo ni mengi muda mchache, majibu kwenye hoja zako ninayo nikipata muda ntakujibu ntaanza na sera nzuri kwenye kilimo.Hizo sera nzuri mbona huzitaji? Kuondosha hizo Kodi unazoita utitiri kwanza zitapunguza Bajeti ya Serikali na hujasema utafidia wapi,pili kufuta aunkupunguza haikupi guarantee ya kupata investors Kwa mda huo huo maana inaweza chukua miaka 2 au zaidi kupata wachache..
Mpaka hapo utaendeshaje Serikali wakati mahitaji yanaongezeka?
Kwani tatizo la Kilimo Cha Tanzania ni uzalishaji au soko? Umeshafeli Hadi dakika hii 🤣🤣
Mwisho Kufuta urasimu Haijawahi kuwa rahisi maana wanaleta urasimu ni staff ambao huwezi kuwepo Kila sehemu kuwa track.
Hahahaha, mkuu, jinsi tulivyo kondoo, hakuna mtu wa kuleta swaga.Tungekutokomeza ukaoze huko shimoni la hewa
Wawe ni mpumbavu sana .Umeandika maelezo meeengi ila upuuzi mtupu hata sijamaliza kusoma..
Una akili ndogo kama sisimizi yaani kwako ukisikia mwekezaji unajua ni wa kutoka China na wazungu tuu si ndio? [emoji16][emoji16],Tafuta taarifa zote za wawekezaji uone wapi wengi domestic au FDI.
Na ulishawahi ona Nchi imeendelea bila FDI? Labda North Korea ambao ni exceptional Duniani Kwa sababu watu wa Asia ni wenye high IQ.
Maji yanavunwa Kwa makopo au? Miundombinu hiyo itajengwa na Matope kama tembe ya mama Yako Kijijini au vipi?
Eti uwapeleke Vijana kwenye parachichi sijui wapi kwani unadhani Kwa nini hawaendi wao mpaka uwapeleke? Manake Kuna bottleneck ambayo huyo investor ameipatia ufumbuzi yaani processing na soko na sio hadithi zako za kijima hizo..
Unadiriki kabisa bila aibu kutoa mfano wa Kanchi Maskini na hovyo kama Rwanda ambako hakana hata kitu Cha kufanya tujigunze kuanzia uchumi Hadi utawala,hovyo kabisa wewe Jamaa.
View attachment 2597915
Mwisho Ujinga wako huo Nyerere na Mwendazake wali practice wakagonga mwamba tena Kwa kuoga China na Russia waliopotezea huo upuuzi wa kina Karl Max..
Nasisitiza hakuna Maendelea bila Wawekezaji Dunia ya Sasa,hakuna ,suala la wizi ni issue ndogo ya mifumo au hata culture ya jamii.
Mpumbavu mkubwa mtu aliyeharibu uchumi anakuaje mwanamapinduzi wa Maendelea?Wawe ni mpumbavu sana .
Hakuna maendeleo bila kuwa na mwana Mapinduzi mmoja atakayekuja na Mawazo anayoweza akayasimamia Kwa nguvu zote. Gadaff hakuwa anahangaika na matakwimu ya kupumbavu ya wazungu aliangalia Libya na utajiri wake Wa mafuta. Wazungu Koko kama wewe walimwambia kuwa ana Akili ndogo na maneno mengi ya dharau lakini baadae Libya ikawa ni nchi Tajiri sana na tishio Kwa Mataifa ya Mashoga na WEZI mnayoyashobokea .
Kwa Sasa tunamshukuru Mungu Kwa kutupa Kwa muda mfupi JPM. Yule Mtu alikuja kutufungua macho Waafrika na watanzania ndio Maana nchi nyingi za Afrika zinamwamko Wa kupigania rasilimali zao. MAGUFULI ametufungua macho hata mtukane .
Tunahitaji MTU mmoja Mwenye uwezo Wa kuthubutu na SIO makaratasi yaliyoandikwa na Mashoga Huko ULAYA .
Magufuli amekufa watu wakaiba pesa hazina na Kila MAHALI halafu mnadanganya kuwa Alishindwa. Shame upon you! Fuatilieni miamala mingi walizopiga na malipo hewa yalifanyika kuanzia tarehe zile Magufuli alizokua amezidiwa na akawa haonekani kwenye ziara na kwenye vyombo vya habari. Leo WEZI wanajisifu kuwa eti Magufuli Alishindwa . Alishindwa vipi wakati nchi ilifikia uchumi Wa kati ?
Au Kuona watu wakiiba fedha za umma ndio maendeleo Kisha kutafuta wawekezaji Wa mchongo na kuwapa Madini Kwa mgongo Wa Nyuma ni ujanja huo? Yaani wawekezaji wanawekeza Kwa fedha walizotuibia halafu tunashangilia.
Kama Mwigulu Nchemba na January Makamba, nitaichukulia serious report ya CAG na kufanya yale yaliyopendekezwa. Kingine, nitamkamata Ridhiwani na baba yake kwa kulitia hili taifa hasara.Hapa mnaotaman kuwa viongozi tuone experience
Ndiyo nani huyo mzee wa kuchekacheka?MZEE WA KUCHEKACHEKA NINGEMFUNGA ILI REMOTE IZIMWE