Hivi ulishawahi kupenda mtu, mpaka ukimwona unamwogopa!

H r n

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2019
Posts
1,100
Reaction score
2,079
Habari wakuu.

Hivi ulishawahi kupenda mtu,yaani mpaka wewe mwenyewe hujiamini kama upo naye ,ukiombwa chochote , unatoa bila kupepesa macho, na hata kama huna unashindwa kusema, hivi ulitokaje kwenye huo mtego kuna ndugu yangu anaangamia hapa !
 
Habari wakuu.
Hivi ulishawahi kupenda mtu,yaani mpaka ww mwenyewe hujiamini kama upo naye ,ukiombwa chochote , unatoa bila kupepesa macho, na hata kama huna unashindwa kusema, hivi ulitokaje kwenye huo mtego kuna ndugu yangu anaangamia hapa !
😅😅 nilie nae sasa hivi mwanzo ilikuwa hivyo, uzuri akawa amenisoma na akawa ananipenda akaanza nibadikirikia hakuwa anapenda hiyo tabia, maana nilikuwa sipindishi kumbe alikuwa ananipima namna nipo dhaifu kwake.. akaja niwakia siku moja akaniambia yeye hapendi mwanaume dhaifu ( akaniambia mie ni dhaifu weak nipo soft sana ) alinipa maneno makali kweli kweli ila alikuwa ananivuruga na niliumia hadi kuhisi moyo unamwaga damu maana sijawai tamkia hayo maneno toka nimezaliwa .... na tupo ane hadi leo mambo ni 🔥🔥
 
downloadfile-104.jpg
 
Hujapatikana vizury mwanangu anakopa huku hali ngumu
 
Back
Top Bottom