😅😅 nilie nae sasa hivi mwanzo ilikuwa hivyo, uzuri akawa amenisoma na akawa ananipenda akaanza nibadikirikia hakuwa anapenda hiyo tabia, maana nilikuwa sipindishi kumbe alikuwa ananipima namna nipo dhaifu kwake.. akaja niwakia siku moja akaniambia yeye hapendi mwanaume dhaifu ( akaniambia mie ni dhaifu weak nipo soft sana ) alinipa maneno makali kweli kweli ila alikuwa ananivuruga na niliumia hadi kuhisi moyo unamwaga damu maana sijawai tamkia hayo maneno toka nimezaliwa .... na tupo ane hadi leo mambo ni 🔥🔥