Hayanaga mwongozo, mkuu!Kijana now anashindia mihogo but she kwa siku 30k kumwelekeza siwezi wacha achapike kwanz
Hahahahaaaa mpaka leo sitamsahau anaitwaUpo naye au ulitelekezwaa
Mwambie atafute vitu vya kufanya awe busy,Tufanyaje sasa
Pole mkuu, jtaid kumkula mara kwa mara baada ya wiki utamuona takataka 😂Habari wakuu.
Hivi ulishawahi kupenda mtu,yaani mpaka wewe mwenyewe hujiamini kama upo naye ,ukiombwa chochote , unatoa bila kupepesa macho, na hata kama huna unashindwa kusema, hivi ulitokaje kwenye huo mtego kuna ndugu yangu anaangamia hapa !
Upendo kutoka moyoni huo siyo kwenye ubongoNilikuwa na miaka 19 na yeye akiwa msichana wa miaka 17
Alinipenda sana ingawa nilikuwa sijui
Nilipokuja kuwa karibu nae alikuwa akiniona anateteka
Hata kuniangalia hawezi.
Nilikuwa namuhurumia sana
Baada ya miaka kuna vita ilitokea kila mmoja akaenda kivyake
Baada ya miaka 20 akapata mawasiliano yangu
Akiwa ameolewa Nami nina mke na watoto
Cha ajabu akaniambia bado ananipenda hata Leo anaweza kuniijia ingawa tuko nchi tofauti
Jamani kuna watu wanajua kupenda
Ingawa sio kawaida kwa binadamu wengi ila wapo wa hivyo
una umri gani dogoHabari wakuu.
Hivi ulishawahi kupenda mtu,yaani mpaka wewe mwenyewe hujiamini kama upo naye ,ukiombwa chochote , unatoa bila kupepesa macho, na hata kama huna unashindwa kusema, hivi ulitokaje kwenye huo mtego kuna ndugu yangu anaangamia hapa !
Inasikitisha sana!Hii inaitwa nikinywq maji nakuona kwenye glass
Nilikuwa sijawa serious na wokovu mkuu, ndio maana yarinipelekesha sana!Au ulirongwaa ww