Siamini kwenye uchawi mimi 🤣Nenda kwa wataalamu utengenezweee
NooooMie sijasema wachawi hapo au mie nimesema nenda kwa wataalum siyo wachawi
Hata kama naye anakupenda, lakini upendo wenu ukiwekwa kwenye mizani, lazima utakuta mizani ya upendo wako itahang juu, kwa mwenzako itakuwa chini.Sasa mbona kuna mtu nampenda sana inawezekana yeye hanipendi au ðŸ˜ðŸ¤£ðŸ¤£ðŸ¤£
SawaaaHata kama naye anakupenda, lakini upendo wenu ukiwekwa kwenye mizani, lazima utakuta mizani ya upendo wako itahang juu, kwa mwenzako itakuwa chini.
Penzi kamwe halijawahi na halitakuja kulingana katika wapendanao.
Long time sana mzeeNipo mkuu.
Mimi ni Shahid katika kesi ya TAL
Kwa hiyo nipo bize
Hapana.Habari wakuu.
Hivi ulishawahi kupenda mtu,yaani mpaka wewe mwenyewe hujiamini kama upo naye ,ukiombwa chochote , unatoa bila kupepesa macho, na hata kama huna unashindwa kusema, hivi ulitokaje kwenye huo mtego kuna ndugu yangu anaangamia hapa !
Habari wakuu.
Hivi ulishawahi kupenda mtu,yaani mpaka wewe mwenyewe hujiamini kama upo naye ,ukiombwa chochote , unatoa bila kupepesa macho, na hata kama huna unashindwa kusema, hivi ulitokaje kwenye huo mtego kuna ndugu yangu anaangamia hapa !
Kuna mmoja hivi anaitwa fay nilimtongoza miaka kadhaa akanichomolea lakini nilimpenda sana yaani hata namba yake ipo kichwani,nilimwambia niko radhi hata kufa kwa ajili yako lakini hakunipenda now kashaolewa huko na ana mtoto ila bado naview status zake moyo bado umependa ndo hivyo mke wa mtu now.Kuna demu nilimpenda kinoma nikawa,nikimwona moyo unashtuka,lakin nilikuja kutafakari nikaona...nitakuja kuumia kizembe sana nikaanza kumtafutia kasoro mpaka nikamsahau.
..ila yule binti ni mrembo ana akili,ngozi poa,anaongea taratibu, sijawahi tangu nikuwe mkubwa.... ona watoto wa arusha ni noma 🤩
Ishu ni kibunda tu mwanaume ukikosa confidence inapungua, huwezi kujiongopea, unaweza ukawa nacho ila unaona kabisa kwa mwanamke ulienae bado hakitoshi ila anahisi unauwezo hapo ndio kipengele, anakuamini alaf wewe hujiamini.😅😅 nilie nae sasa hivi mwanzo ilikuwa hivyo, uzuri akawa amenisoma na akawa ananipenda akaanza nibadikirikia hakuwa anapenda hiyo tabia, maana nilikuwa sipindishi kumbe alikuwa ananipima namna nipo dhaifu kwake.. akaja niwakia siku moja akaniambia yeye hapendi mwanaume dhaifu ( akaniambia mie ni dhaifu weak nipo soft sana ) alinipa maneno makali kweli kweli ila alikuwa ananivuruga na niliumia hadi kuhisi moyo unamwaga damu maana sijawai tamkia hayo maneno toka nimezaliwa .... na tupo ane hadi leo mambo ni 🔥🔥