Hivi ulishawahi kupenda mtu, mpaka ukimwona unamwogopa!

Habari wakuu.

Hivi ulishawahi kupenda mtu,yaani mpaka wewe mwenyewe hujiamini kama upo naye ,ukiombwa chochote , unatoa bila kupepesa macho, na hata kama huna unashindwa kusema, hivi ulitokaje kwenye huo mtego kuna ndugu yangu anaangamia hapa !
Siyo ndugu yako bali ni wewe mwenyewe mwenye hicho kisa.

Nasema hivi kwa sababu kipimo cha upendo wa namna hiyo kinakuwa ndani ya nafsi ya mtu personal.

Kupima kiwango cha upendo wa mtu kwa kumwangalia usoni ni uongo, maana moyo wa mtu ni kichaka hauwezi kujua anachokiwaza.

Tukija kwenye mada, kuna ubaya gani kumpenda mtu, au huyo mpendwa hapendeki?

Hivi unaelewa kupenda ni raha?
 
Jaribu kufanya hivyo, japo mi mwanamke akishanikubali tu kuna namna namshusha-namchukulia poa sana nikimvua chu* ndo kabisa hata kofi naeza mlabua😁basi tu-sjui wengine waga mnawachukuliaje hawa viumbe/mama zetu ni wanajichetua tu ila akuna ata la kufanya umuogope hakuna, bora umuogope hata msela mwenye ukwasi kukuzidi ila manzi hata akiwa anakuzidi pesa mheshimu tu na si kumuogopa!
Ww bado hujapatikana vizury
 
Siyo ndugu yako bali ni wewe mwenyewe mwenye hicho kisa.

Nasema hivi kwa sababu kipimo cha upendo wa namna hiyo kinakuwa ndani ya nafsi ya mtu personal.

Kupima kiwango cha upendo wa mtu kwa kumwangalia usoni ni uongo, maana moyo wa mtu ni kichaka hauwezi kujua anachokiwaza.

Tukija kwenye mada, kuna ubaya gani kumpenda mtu, au huyo mpendwa hapendeki?

Hivi unaelewa kupenda ni raha?
Mie mimi ndio 😀 natesekaaaa mno mapenzi shikamo
 
Sitoi hela kwa kuombwa aisee
Amanita huyu nikomwana pressure juu natamani nimwone tu ,yaani angetaka hata dunia yote niwe na uwezo nayo ningewauza wote humu am in love with dangerous person 😄
 
Mie mimi ndio 😀 natesekaaaa mno mapenzi shikamo
Hapo hauteseki chochote, bali upo kwenye upeo wa mapenzi na ndivyo mtu anatakiwa kupenda, yaani hata anayependwa aogope!

Ninasema hivyo kwa sababu ungelipigwa limbwata, haungelipata akili ya kujihoji juu ya kupenda kwako, kuujadili upendo ni kujitambua.

Cha kufanya hapo, tengeneza kanuni zako za kujidhibiti na kumdhibiti mpenzi wako.

Kupenda ni bonge la starehe asikwambie mtu.
 
Kupenda ni bonge la starehe kasheshe inakuja pale anaependwa anapoanza kukuchukulia faller
Sio kila mtu ana deserve upendo mkubwa
 
Nataka niokoke
 
Kupenda ni bonge la starehe kasheshe inakuja pale anaependwa anapoanza kukuchukulia faller
Sio kila mtu ana deserve upendo mkubwa
Mbona hilo linafahamika mkuu?

Hiyo ni formula. Mungu/Shetani alipiga marufuku upendo kuballonce.

Siku upendo utapoballonce basi Shetani atakosa mavuno, kwa sababu hadaa, chuki na utapeli wa mapenzi vitaisha na dhambi zitaisha.

Elewa kabisa kuwa,ukiona mtu unampenda sanaaa, ujue ye anakuchukulia poa ama hakupendi kabisa.

Nikija kwenye mantiki yangu, nimezungumzia 'kupenda' na siyo kupendwa ama kupendana.

Pigia mstari hiyo 'kupenda', hayo mengine ni yatokanayo.
 
Sasa mbona kuna mtu nampenda sana inawezekana yeye hanipendi au 😭🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom