Hivi ulishawahi kupenda mtu, mpaka ukimwona unamwogopa!

Hivi ulishawahi kupenda mtu, mpaka ukimwona unamwogopa!

Habari wakuu.

Hivi ulishawahi kupenda mtu,yaani mpaka wewe mwenyewe hujiamini kama upo naye ,ukiombwa chochote , unatoa bila kupepesa macho, na hata kama huna unashindwa kusema, hivi ulitokaje kwenye huo mtego kuna ndugu yangu anaangamia hapa !
Kalogwa huyo
 
Dah we jamaa em acha banah
 
Hayo ni matatizo ya akili, sio upendo.Ni uwepo wa HISIA KALI juu ya mtu ambazo hazina uhalisia [INFATUATIONS]
 
Nilimpenda binti kipindi na balehe kiufupi nilimpenda kupindukia kila muda nilikuwa nawaza nitumie njia gan kumfurahisha akaanza kuona kama mwanamke mwenzake ameshajua nampenda namba yake tu niliikariri kama pasword ya bank nikateseka, nikalia nikaamua kwenda kijijin kuishi miez 7 situmii simu nikajijenga kiakili now hakuna ujinga huo machozi yang yanathaman hayawezi kutoka kisa mapenz ety akarudi tena weeeee
😀😀 mpaka village 😀😀😀
 
Habari wakuu.

Hivi ulishawahi kupenda mtu,yaani mpaka wewe mwenyewe hujiamini kama upo naye ,ukiombwa chochote , unatoa bila kupepesa macho, na hata kama huna unashindwa kusema, hivi ulitokaje kwenye huo mtego kuna ndugu yangu anaangamia hapa !
Dooh 😅
 
Jaribu kufanya hivyo, japo mi mwanamke akishanikubali tu kuna namna namshusha-namchukulia poa sana nikimvua chu* ndo kabisa hata kofi naeza mlabua😁basi tu-sjui wengine waga mnawachukuliaje hawa viumbe/mama zetu ni wanajichetua tu ila akuna ata la kufanya umuogope hakuna, bora umuogope hata msela mwenye ukwasi kukuzidi ila manzi hata akiwa anakuzidi pesa mheshimu tu na si kumuogopa!
Hujapata chaka la kwenda ww bado
 
Back
Top Bottom