Bandar Abbas
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 468
- 1,219
The number 7 in castimos energy inaashiria completion hata kwa kaballah .... ina deeper meaning sema kuielezea kwa post moja ni ngumu ...piga mazoezi sana ukifungua kundalini ya saba au uinue aura yako mpaka kwa kifua , in practicality iwe unaweza kuinua kikombe bila kukigusa at that level mengi utaelewa...kiufupi kuna mengi kuhusu dunia Mungu aliacha open at the same time closed , if you seek it youll find it