Hivi umeshawahi kujiuliza kuhusu Namba Saba

The number 7 in castimos energy inaashiria completion hata kwa kaballah .... ina deeper meaning sema kuielezea kwa post moja ni ngumu ...piga mazoezi sana ukifungua kundalini ya saba au uinue aura yako mpaka kwa kifua , in practicality iwe unaweza kuinua kikombe bila kukigusa at that level mengi utaelewa...kiufupi kuna mengi kuhusu dunia Mungu aliacha open at the same time closed , if you seek it youll find it
 
Haya mambo ya meditation Kufikia ktk level hiyo nayatamani sana niweze kuexperience mambo mapya
 
Kwa akili hii kubwa unafanya nini kinyerezi mwisho ukifukuzia sketi na beer ya buku jero kiongozi , nchi inakuitaji kule wizara ya fedha....abstract thinking kali sana hii
Asante mkuu, ila mambo mengine ni kutafakari tu, kwamba kuna siku saba au sita, uliangalia hakuna tofauti ya siku moja na nyingine zaidi ya ratiba zetu tulizojiwekea.
 
The number 7 in castimos energy inaashiria completion hata kwa kaballah .... ina deeper meaning sema kuielezea kwa post moja ni ngumu ...piga mazoezi sana ukifungua kundalini ya saba au uinue aura yako mpaka kwa kifua , in practicality iwe unaweza kuinua kikombe bila kukigusa at that level mengi utaelewa...kiufupi kuna mengi kuhusu dunia Mungu aliacha open at the same time closed , if you seek it youll find it
Haya mambo ya meditation judicial ktk level nayatamani sana niweze kuexperience mambo mapya
Asante mkuu, ila mambo mengine ni kutafakari tu, kwamba kuna siku saba au sita, uliangalia hakuna tofauti ya siku moja na nyingine zaidi ya ratiba zetu tulizojiwekea.
Na ukifikiria hivyo utakuja kuona hakuna mwaka mwingine mpya mambo ni yale yale tu hahaha
 
Kuna mbingu Saba
Bahari Saba
Ardhi Saba
Binadamu ana matundu Saba
Kuna siku Saba Katika wiki
Waislamu wanazunguka mara Saba kule Kaaba
Kiama kitatokea siku ya Saba ambayo ni Ijumaa
Waislamu wakiswali wanasujudu kwa viungo Saba,,kwa maana paji la uso na pua moja, vitanga viwili vya mikono, magoti mawili na ncha mbili za vidole vya miguu jumla viungo Saba
Waislamu wanasoma dua maalumu ndani ya swala ina ayah saba

Malizia mwenyewe na mambo mengine unayoyajua

Namba Saba ni UKAMILISHO WA KITU.

Ni hayo tu!
Na Mungu ana nafsi saba
 
Pua-2
maskio-2
mdomo-1
uume-1
makalioni-1

Totally =7
Sio kweli. Labda kwa kulazimisha ksbb mnaitaka 7,7.
Macho 2 huwezi kuyacha macho ksbb mtu anapovuja damu kila mahala ni machoni,puani,masikini,mdomoni na kwingineko.
Kwa hiyo ni
1. Macho 2
2. Pua 2
3. Masikio 2
4. Mdomo 1
5. Haja kubwa 1
6. Ukiongezea na sehemu za mbele 1
Jumla inakuja 9
 
Duh umetisha sana chief,,, anyways ni maono yako
 
Back
Top Bottom