Lucky Star
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 1,874
- 3,215
Pole sana aisee, najua ni namna gani unajiona mwenye hatia pasipo hatia. Samehe na maisha yaendelee(ingawa ni ngumu kuikabili hali hiyo). Kikubwa kama kuna mabaya hakikisha hayajirudii kwa uzao wako.Watu tumechukiwa bila sababu Hadi timefukuzwa nyumbani na tumefuta undugu.
Saa hizi ndugu yangu ni mke wangu na watoto wangu tu, full stop
Hahahaha unaachaje sasa... Kila ukienda home kumcheck mama unapunguza stress za maisha unapata ile pure love.Basii vitoto vinavyojua vinapendwa huwa vinajua kudeka, huwa huvimbi kweli Cvez.??
Mkuu punguza jazba kidogo[emoji2957][emoji3]Watoto na wazaz wa siku mmekaa kindez ndez kijinga jinga..Et mtoto anakua hayuko sawa kisa hajaonyeshwa upendo..upumbavu huu wenu mnaojifanya wasomi..et na wewe umeambiwa tu "i was nit their best....blah blah" ukajiskia vibaya..au ni kingereza ndio kilikuchanganya?? Pumbavu sana huv nyie vitoto mngekulia kwenye family zile za kizaman tulizokulia sisi si mngekufa before age?? Na kwa mind set hii no wonder mnatengeneza kizaz cha kishenz na nyie watoto mnajiweka near poverty line... wakongwe wenzangu wanalijua hili. Kwenye family mko watoto 18 huo muda wa kuonyeshana upendo unatoka wapi?au wewe kama mtoto huo muda wa kuchunguzwa unapendwa au hupendwi unautoa wapi?? Na sometimea watoto wengine wanalelewa katika mazingira kabisa akijua hapendwi ila ndio inampa changamoto ya kujipambania na kujisimamia na kujitetea dhidi ya uonevu toka kwa wenzake....
Achen watoto kuwalea katika namna ambayo watashindwa kujisimamia hala baadae wajifiche kwenye kivuli hicho cha " nilikua sipendwi".
Endeleen tu kutengeneza kizaz cha kishoga shoga wapuuz nyie...
Na haya ndiyo madhara ya kukosa upendo utotoni hata maandishi tu yanajidhihirisha jinsi ulivyo na chuki,mkali na kila kitu kibaya.Watoto na wazaz wa siku mmekaa kindez ndez kijinga jinga..Et mtoto anakua hayuko sawa kisa hajaonyeshwa upendo..upumbavu huu wenu mnaojifanya wasomi..et na wewe umeambiwa tu "i was nit their best....blah blah" ukajiskia vibaya..au ni kingereza ndio kilikuchanganya?? Pumbavu sana huv nyie vitoto mngekulia kwenye family zile za kizaman tulizokulia sisi si mngekufa before age?? Na kwa mind set hii no wonder mnatengeneza kizaz cha kishenz na nyie watoto mnajiweka near poverty line... wakongwe wenzangu wanalijua hili. Kwenye family mko watoto 18 huo muda wa kuonyeshana upendo unatoka wapi?au wewe kama mtoto huo muda wa kuchunguzwa unapendwa au hupendwi unautoa wapi?? Na sometimea watoto wengine wanalelewa katika mazingira kabisa akijua hapendwi ila ndio inampa changamoto ya kujipambania na kujisimamia na kujitetea dhidi ya uonevu toka kwa wenzake....
Achen watoto kuwalea katika namna ambayo watashindwa kujisimamia hala baadae wajifiche kwenye kivuli hicho cha " nilikua sipendwi".
Endeleen tu kutengeneza kizaz cha kishoga shoga wapuuz nyie...
I know my tone was different. Ni katika kuonyesha utofauti mkubwa uliopo baina yao.Lakini hata unavyo mtaja huyo mtoto wa pili inaonyesha kabisa mambo yake ya kulia lia na utundu yanakukera, unatumia hili toto...litundu...wakati wa kwanza hata kumtaja unachagua kwa umakini herufi za kutumia.
Mimi nilikuwa gangwe wa familia.Lakini nilipoondoka kwenda Msumbiji wanafamilia walilia kwa huzuni.😝😝😝😝😝Upendeleo huwa unakuwepo, kuna ule ambao it is obviously tu last born huwa anapendelewa kuliko wenzie, ukiachana na lb huwa kuna mtoto unakuta anakuwa na vitabia vizuri lazma wazazi au mzazi ampendelee....
Mi binafsi sijioni nahisi sina nnaempenda kuliko wenzie, naona nawapenda sawa, ila mwenzangu namuona anaupendo zaidi kwa first born kwa sababu ni mtoto mpole hana utundu.
Mm hadi kuwajengea nyumba mambo ya NHIF, kusaidia kusomesha wajomba kuna madogo zangu hadi leo wanakaa kwenye vibanda vyangu .ila wote wanasema mm nina roho mbaya mchoyo siwajaki sasa niko kama wewe... sijui mtu tena sipigi simu wala sipigiwi simu wife nimemwambia aamue mm au wale ...Watu tumechukiwa bila sababu Hadi timefukuzwa nyumbani na tumefuta undugu.
Saa hizi ndugu yangu ni mke wangu na watoto wangu tu, full stop
Duu aise. We kama mimi aise. Mimi na sister tunayefatana wote tumezaa nje ya utaratibu, nimezakisha binti wa watu sister naye kazalishwa. Ila bi mkubwa mtoto wangu ameshaniambia hamtaki na asimuone kwake. Ila wa sister amemchukua na anahanhaika naye. In Short bi mkubwa ni mkoloni ila huyu sister wakati tunakua ndo alikuwa anathubutu kumtania, kumchezea muziki n.k. Hivi tunavyoongea life lake lipo ovyo ovyo.Watu tumechukiwa bila sababu Hadi timefukuzwa nyumbani na tumefuta undugu.
Saa hizi ndugu yangu ni mke wangu na watoto wangu tu, full stop
I'm the first born. Walioonesha kunipendelea mimi zaidi kuliko wadogo zangu siku nilipojitambua niliamua kujiweka mbali nao hasa kimawasiliano. Sipendi upendeleo wala ubaguziAmen, T.G.I.F, wale wenzangu na Mimi wapenda weekend tunaijua ile feeling ya Ijumaa,
Natumaini mpo salama, nimejikuta najiuliza hichi kitu maana ni situation ambayo nimekutana nayo sana kwa watu wengi, kuna ile namna unahisi kabisa kwamba kwenye familia yetu yenye watoto kadhaa, kuna kipenzi cha Baba na pia kuna kipenzi cha Mama, na kuna wale wanabaki wanajua kabisa Mimi siye miongoni mwao..!
Nilikuwa nazungumza na mtu wangu wa karibu siku moja, akanitamkia like 'I was not their best'...! yaani hapo si kwa Baba wala Mama, nilijiskia vibaya mno mno, na hakika ukitazama watoto waliokosa upendo wa hivyo kwa kushuhudia kabisa kuwa wenzie wanakirimiwa kuwaliko kuna namna hawako sawa kabisa kabisa tofauti na yule mtoto aliyepokea upendo wa kumtosha na kumjaziliza..!
Bado sijakuwa mzazi I don't even know how it feels, hivyo natamani nijue, unapenda watoto wote ni kweli lakini kuna yule ambaye anagusa kabisa mtima wako moja kwa moja (nimeongea na wazazi wengi na wamekiri hili), hivi hakuna namna unaweza ficha hili wenzie wasijue na wakajiskia vibaya.?
Ama umewahi pitia ile hali katika ukuaji wako ya kujua wewe ndiye unapendelewa zaidi ama ni kinyume na hapo kuliko wenzio, na ulijiskiaje.??
Natamani wajuzi wa malezi na wazazi waliweke hili sawa ili tujifunze, maana kuna kizazi chenye watu wenye tabia za ajabu sana kinazidi kutengenezwa hivi sasa na hakuna anayewaza kuhusu hili kabisa..! Kuna watu unaweza walaumu kwa tabia wanazokuonyesha ukaishia kuwalaumu na kuwachukia kumbe ni MALEZI yao tu maskiini ndiyo yamewafikisha walipo..!!
Anyways Karibuni..!
My Salimeti, kumbe wewe ni lilast born, uliyedeka sana😂 miaka 7 si ni mbabu kabisa huyu aah🙌Mimi ni litoto la mwisho na nilipendelewa kwa kila kitu. Kunyonya kwenyewe nilinyonya mpaka nikiwa na miaka saba yaani niko nachunga ndama na akili zangu kabisa lakini kichwani napiga akili kuwa nikifika tu home napata lishe ya uhakika kutoka kwa maza. Nakumbuka kulikuwa na mzee mmoja mkorofi sana alikuja pale home ndo akachimba mkwara eti hili litoto mtakuja kuliharibu hili (shwaini zake!). Na kuanzia siku ile ndo nikapotezea kunyonya. Mpaka mama amekuja kuzeeka mpaka kufariki tuko marafiki sana. Imagine anakata roho mi niko mbali lakini niko naye kwenye simu ananiaga.
Hali hii nadhani mwenyewe imeniathiri kiasi fulani (tender heart, huruma sana, kutokuwa na kifua; na mengine mengi tu) ila pia sikujua lakini baadhi ya ndugu zangu hasa wale wawili ninaowafuata wana reservations na mimi na hatuko karibu kivile no matter how hard I try. Wanasema everything came easy for me kwa vile nilikuwa mtoto mpendwa wa familia. Kwa wanangu najitahidi sana kuwa fair japo kuna katoto kamoja yaani nakapenda mpaka basi. Mungu na Atusaidie wazazi tusilete madhara na kupanda mbegu za uhasama; na hata kuacha makovu ya kudumu kwa malaika hawa tuliobarikiwa nao - hasa katika kizazi hiki cha mabroila [emoji1545][emoji1545][emoji1545].
Ha ha ha ha, Mimi Ni last born and wa kiume pekee yangu tumelelewa na bibi kwa angalau 90% hasa mimi.Bi mkubwa kuna kipindi alikuwa anatamka mbele yangu eti yaaan Fulani( anamtaja sister wa kike) angezaliwa mwanaume. Hapo mimi niko zangu shule nahangaika sina mbele Wala nyuma. Ilifika point akaniudhi ikabidi nimchane. Nikakwambia bi mkubwa kwenye watoto wako wote Mimi ndo mtoto wa kiume usije ukasahau hilo. Sasa sister zangu wote Mambo yao siyo poa kabisa. Mimi Sasa hivi atleast kwa sababu ndo pekee yangu nimefanimiwa kupata elimu ya juu. Bi mkubwa ananidhiria kila kitu, ni kama kauli zake na jinsi alivyokuwa ananibagua vinamtafuna, though mimi sina tatizo kabisa na the past!Leo niende personal maana mada imenigusa
Kuna kuona mtu flani anapendwa kitu ambacho kwangu ni kawaida ila kuna kubaguliwa
mzazi kukuchukulia kama of low class, yaani ndugu yako yoyote anaona anakumudu maana mkienda kwa mzazi ni nadra kuwa balanced na kukaa upande wako hata kama unaonewa
yaani nilibaguliwa na kuoneshwa LIVE, imagine mpo sebuleni ndugu zako wanaomba hela ya nguo wanapewa bila shaka ila wewe unaomba hela ya masomo ya ziada school tena cheaper mara hata 100 lakini unanyimwa kwa kejeli na ndugu zako wanakucheka
ilikuwa worse than that !!
Ila imenijenga kuwa mtu wa kutopenda misaada kirahisi au vitu vya bure. I fight on my own, kheri nipate buku nisonge ugali nile kuliko kumuomba mtu 100k ambayo anaweza kunipa
Kingine nampenda first born wetu, Alinionesha kunipenda sana na alikuwa karibu kuniprotect. ile Ukinigusa ujiandae kupambana nae na 90% ya kupigana kwake home sababu ni mimi 😂😂😂, Japo ni kivuruge hatari ila kama kuna mtu dunia hii najua ananipenda without a doubt bhasi ni yeye and i love him sana sana sanaaaa
nimeshakuwa emotional ngoja niishie haps 😁
I know my tone was different. Ni katika kuonyesha utofauti mkubwa uliopo baina yao.
I love my sons with all I have.
And I love them equally.
Kweli first born wako mpole. Maananimekumbuka uziwako ukisema vidume vyako vinadundana. Watu tukafungua uzi tukijua kimewaka kati ya hasband na mchepuko kumbe watotoUpendeleo huwa unakuwepo, kuna ule ambao it is obviously tu last born huwa anapendelewa kuliko wenzie, ukiachana na lb huwa kuna mtoto unakuta anakuwa na vitabia vizuri lazma wazazi au mzazi ampendelee....
Mi binafsi sijioni nahisi sina nnaempenda kuliko wenzie, naona nawapenda sawa, ila mwenzangu namuona anaupendo zaidi kwa first born kwa sababu ni mtoto mpole hana utundu.
Karucee nakuelewa ndio maana nikadiriki kuandika nilichokiandika kwa vile najua your level of maturity...relax!
Hakuna mzazi anapenda apende mtoto mmoja zaidi ya anavyowapenda wengine.
Na mie naambiwa nampenda zaidi binti kuliko kajamaa kanakomfuatia, tena hii anasema Mama yake.
Nikajaribu kutafakari sikuona kama nna hizo chembechembe za ubaguzi au upungufu wa upendo kwa hao watoto kati ya mmoja na mwenzake. Ila kajamaa kenyewe ndio ukikagusa kila kitu ni Maam, Mamii hata mie kuna wakati kanajisahau kananiita Mamii, ndio jina liko mdomoni mwake la karibu kabisa.
Leo niende personal maana mada imenigusa
Kuna kuona mtu flani anapendwa kitu ambacho kwangu ni kawaida ila kuna kubaguliwa
mzazi kukuchukulia kama of low class, yaani ndugu yako yoyote anaona anakumudu maana mkienda kwa mzazi ni nadra kuwa balanced na kukaa upande wako hata kama unaonewa
yaani nilibaguliwa na kuoneshwa LIVE, imagine mpo sebuleni ndugu zako wanaomba hela ya nguo wanapewa bila shaka ila wewe unaomba hela ya masomo ya ziada school tena cheaper mara hata 100 lakini unanyimwa kwa kejeli na ndugu zako wanakucheka
ilikuwa worse than that !!
Ila imenijenga kuwa mtu wa kutopenda misaada kirahisi au vitu vya bure. I fight on my own, kheri nipate buku nisonge ugali nile kuliko kumuomba mtu 100k ambayo anaweza kunipa
Kingine nampenda first born wetu, Alinionesha kunipenda sana na alikuwa karibu kuniprotect. ile Ukinigusa ujiandae kupambana nae na 90% ya kupigana kwake home sababu ni mimi [emoji23][emoji23][emoji23], Japo ni kivuruge hatari ila kama kuna mtu dunia hii najua ananipenda without a doubt bhasi ni yeye and i love him sana sana sanaaaa
nimeshakuwa emotional ngoja niishie haps [emoji16]
Whoooops'...!
Hat off Sweet C'ssy, you said it all, yaani umeichambua hasa, sijui nikuachie tu hii thread maana umejua kuitendea haki hatari..!
Naamini na Najua you're the Best Mom ever, I am so so proud ov you.!
HahahaaHivi huu ugonjwa wa kuandika na kufuta kabisa na ninyi wenzangu mnao?