Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,540
PoleWatu tumechukiwa bila sababu Hadi timefukuzwa nyumbani na tumefuta undugu.
Saa hizi ndugu yangu ni mke wangu na watoto wangu tu, full stop
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PoleWatu tumechukiwa bila sababu Hadi timefukuzwa nyumbani na tumefuta undugu.
Saa hizi ndugu yangu ni mke wangu na watoto wangu tu, full stop
Ipo sana kwenye familia,ila ni jambo baya sana kwa mzazi kuonyesha mapenzi makubwa kwa mtoto mmoja kuliko wenzie,wale wanaobaguliwa au kuonyeshwa mapenzi kidogo,hii huwakaa moyoni na ukubwani watalipa kisasi kwa wazazi,watakuwa hawana mapenzi na wazazi wao kabisa,huwa ni mbegu mbaya wazazi wanakuwa wamefanya,Amen, T.G.I.F, wale wenzangu na Mimi wapenda weekend tunaijua ile feeling ya Ijumaa,
Natumaini mpo salama, nimejikuta najiuliza hichi kitu maana ni situation ambayo nimekutana nayo sana kwa watu wengi, kuna ile namna unahisi kabisa kwamba kwenye familia yetu yenye watoto kadhaa, kuna kipenzi cha Baba na pia kuna kipenzi cha Mama, na kuna wale wanabaki wanajua kabisa Mimi siye miongoni mwao..!
Nilikuwa nazungumza na mtu wangu wa karibu siku moja, akanitamkia like 'I was not their best'...! yaani hapo si kwa Baba wala Mama, nilijiskia vibaya mno mno, na hakika ukitazama watoto waliokosa upendo wa hivyo kwa kushuhudia kabisa kuwa wenzie wanakirimiwa kuwaliko kuna namna hawako sawa kabisa kabisa tofauti na yule mtoto aliyepokea upendo wa kumtosha na kumjaziliza..!
Bado sijakuwa mzazi I don't even know how it feels, hivyo natamani nijue, unapenda watoto wote ni kweli lakini kuna yule ambaye anagusa kabisa mtima wako moja kwa moja (nimeongea na wazazi wengi na wamekiri hili), hivi hakuna namna unaweza ficha hili wenzie wasijue na wakajiskia vibaya.?
Ama umewahi pitia ile hali katika ukuaji wako ya kujua wewe ndiye unapendelewa zaidi ama ni kinyume na hapo kuliko wenzio, na ulijiskiaje.??
Natamani wajuzi wa malezi na wazazi waliweke hili sawa ili tujifunze, maana kuna kizazi chenye watu wenye tabia za ajabu sana kinazidi kutengenezwa hivi sasa na hakuna anayewaza kuhusu hili kabisa..! Kuna watu unaweza walaumu kwa tabia wanazokuonyesha ukaishia kuwalaumu na kuwachukia kumbe ni MALEZI yao tu maskiini ndiyo yamewafikisha walipo..!!
Anyways Karibuni..!
Ndugu yangu wa kwanza alipendwa sana,na wadogo zangu pia,mie nilikuwa nachukuliwa kama mtu bwege bwege hv,na kilichoniuma ni wazazi kuona ni kitu Cha kawaida kunitamkia kuwa mie ni mjinga mjinga,kubwa jinga huku wanacheka,wakichukulia kama utani,kitu kibaya kikifanyika,wa kwanza kushukiwa ni mie,hii kitu iliniuma sana na inauma sana mpaka leo,matokeo yake nilianza kujenga roho ya kuwa independent nikiwa mdogo sana,nikaona hapa kitu pekee Cha kuniokoa ni kitabu,nilisoma sana hakuna aliyeweza kunifikia kwa uhodari kwa ndugu zangu,nilibamiza mitiani na ndugu zangu hakuna aliyeweza kuwa na mafanikio ya kitaaluma kama Mimi.Nakumbuka wakati niko mdogo, mimi nyumban ndo first born....nilipita kipindi kigumu sana katika ukuaji, hasa nilikua naona waziwazi jinsi ambavyo wadogo zangu mapacha walivyokua wanapenda. Hawa mapacha ni wakike na wakiume, bwana hwa jamaa darasani walikua wazima..hivyo niliona ambavyo mama anampenda mdogo wangu wa kiume na baba alikua anampenda mdogo wangu wa kike. Iliniumiza na kuninyima raha, kuna siku tulikaa kibarazani, sijui ilikuaje tukawa tupo watatu mimi, mama na baba. Ndipo nikawaambia wazazi wangu kiukweli nyie mi hamnipendi mnawapenda hawa wenzangu, ila mama akapinga na akasema hapana si kweli.
Mimi kutokupendwa kwangu kulitokana na sababu nyingi, kama ugomvi aseeh wiki haipiti sijaleta kesi nyumbani, hizi ngumi nimepigana sana.
Kingine darasanai sikua nafanya vizuri kama watoto wengine, hasa huyu wakiume ndo alikua anakua wakwanza mara nyingi, huyu wa kike labda watatu hivi. Ila namba zangu mi huko 20 na kitu.
Kiukweli kutokuoneshwa sipendwi kulinikomaza kiakili, na nikaanza kupambana na kuwa mtu ambaye nataka kuwaonesha ndani yangu kuna kitu.
Kwasasa nyumban mi ndo napendwa hasahasa mama yangu, ananipenda sana na hilo nalijua na nampenda sana mama kuliko maelezo.
Nawasilisha.
Mkuu umeandika kwa hasira sana na jazba, hakika psychology haidanganyi.. inawezekana kabisa ulichokikosa wewe ni up3ndo na ukaribu connection yako na wazazi/mzazi.Watoto na wazaz wa siku mmekaa kindez ndez kijinga jinga..Et mtoto anakua hayuko sawa kisa hajaonyeshwa upendo..upumbavu huu wenu mnaojifanya wasomi..et na wewe umeambiwa tu "i was nit their best....blah blah" ukajiskia vibaya..au ni kingereza ndio kilikuchanganya?? Pumbavu sana huv nyie vitoto mngekulia kwenye family zile za kizaman tulizokulia sisi si mngekufa before age?? Na kwa mind set hii no wonder mnatengeneza kizaz cha kishenz na nyie watoto mnajiweka near poverty line... wakongwe wenzangu wanalijua hili. Kwenye family mko watoto 18 huo muda wa kuonyeshana upendo unatoka wapi?au wewe kama mtoto huo muda wa kuchunguzwa unapendwa au hupendwi unautoa wapi?? Na sometimea watoto wengine wanalelewa katika mazingira kabisa akijua hapendwi ila ndio inampa changamoto ya kujipambania na kujisimamia na kujitetea dhidi ya uonevu toka kwa wenzake....
Achen watoto kuwalea katika namna ambayo watashindwa kujisimamia hala baadae wajifiche kwenye kivuli hicho cha " nilikua sipendwi".
Endeleen tu kutengeneza kizaz cha kishoga shoga wapuuz nyie...
Inasikitisha sana hata wazazi huwa wanakosea sana kwenye malezi yao kwa watoto!Ndugu yangu wa kwanza alipendwa sana,na wadogo zangu pia,mie nilikuwa nachukuliwa kama mtu bwege bwege hv,na kilichoniuma ni wazazi kuona ni kitu Cha kawaida kunitamkia kuwa mie ni mjinga mjinga,kubwa jinga huku wanacheka,wakichukulia kama utani,kitu kibaya kikifanyika,wa kwanza kushukiwa ni mie,hii kitu iliniuma sana na inauma sana mpaka leo,matokeo yake nilianza kujenga roho ya kuwa independent nikiwa mdogo sana,nikaona hapa kitu pekee Cha kuniokoa ni kitabu,nilisoma sana hakuna aliyeweza kunifikia kwa uhodari kwa ndugu zangu,nilibamiza mitiani na ndugu zangu hakuna aliyeweza kuwa na mafanikio ya kitaaluma kama Mimi.
Tumeishakuwa watu wazima,lakini kwa madhara yale ya kubaguliwa nikiwa mtoto huwa Sina uchungu na mapenzi kwa wazazi kabisa,mpaka wenzangu huwa wanashangaa,nikisikia mtu anasema anampenda mama yake kuliko kitu chochote,huwa nashangaa sana,sasa hv nimeishakuwa mzazi najitahidi sana kuonyesha mapenzi Sawa kwa kila mtoto wangu,kila mtoto Nampa nafasi ya kuwa anavyotaka yeye sio kulazimisha awe kama wenzie.
Toto la mwisho Hujambo?!!!.Mimi ni litoto la mwisho na nilipendelewa kwa kila kitu. Kunyonya kwenyewe nilinyonya mpaka nikiwa na miaka saba yaani niko nachunga ndama na akili zangu kabisa lakini kichwani napiga akili kuwa nikifika tu home napata lishe ya uhakika kutoka kwa maza. Nakumbuka kulikuwa na mzee mmoja mkorofi sana alikuja pale home ndo akachimba mkwara eti hili litoto mtakuja kuliharibu hili (shwaini zake!). Na kuanzia siku ile ndo nikapotezea kunyonya. Mpaka mama amekuja kuzeeka mpaka kufariki tuko marafiki sana. Imagine anakata roho mi niko mbali lakini niko naye kwenye simu ananiaga.
Hali hii nadhani mwenyewe imeniathiri kiasi fulani (tender heart, huruma sana, kutokuwa na kifua; na mengine mengi tu) ila pia sikujua lakini baadhi ya ndugu zangu hasa wale wawili ninaowafuata wana reservations na mimi na hatuko karibu kivile no matter how hard I try. Wanasema everything came easy for me kwa vile nilikuwa mtoto mpendwa wa familia. Kwa wanangu najitahidi sana kuwa fair japo kuna katoto kamoja yaani nakapenda mpaka basi. Mungu na Atusaidie wazazi tusilete madhara na kupanda mbegu za uhasama; na hata kuacha makovu ya kudumu kwa malaika hawa tuliobarikiwa nao - hasa katika kizazi hiki cha mabroila [emoji1545][emoji1545][emoji1545].
Sio kwel mkuu.wazazi wangu have been so lovely considering i am the only born kwa mama yangu i was one of the best kwa baba yangu ambako tuko wengi but i was the first kid to excell in almost everything compared to my bloods.mzee wangu ni moja ya vitu alipendea but haikua na maana hakuwapenda wengineMkuu umeandika kwa hasira sana na jazba, hakika psychology haidanganyi.. inawezekana kabisa ulichokikosa wewe ni up3ndo na ukaribu connection yako na wazazi/mzazi.
Upendo ni Amri kuu na ya Kwanza!
Ipo sana hii kitu,kuna siku nliwahi kumtolea uvivu dingi nikamwambia niliwahi kukusikia siku moja unaongea kuwa katika sisi watoto wenu mtoto flani unampenda zaidi kuliko wengine,nikaona mzee mzima anajihami kikubwa,lakini ukweli ni kuwa familia nzima hilo wote tunalijua kuwa yule ndio kipenzi chake.Sasa na mimi juzi kati yamenikuta,mtoto wangu mkubwa nimesikia analalamika kuwa nampendelea zaidi mwenzake wacha nianze kujiahami,ila nimejitafakari nikagundua kuwa yuko sahihi nilizidisha kidogo mahaba upande mmoja...Amen, T.G.I.F, wale wenzangu na Mimi wapenda weekend tunaijua ile feeling ya Ijumaa,
Natumaini mpo salama, nimejikuta najiuliza hichi kitu maana ni situation ambayo nimekutana nayo sana kwa watu wengi, kuna ile namna unahisi kabisa kwamba kwenye familia yetu yenye watoto kadhaa, kuna kipenzi cha Baba na pia kuna kipenzi cha Mama, na kuna wale wanabaki wanajua kabisa Mimi siye miongoni mwao..!
Nilikuwa nazungumza na mtu wangu wa karibu siku moja, akanitamkia like 'I was not their best'...! yaani hapo si kwa Baba wala Mama, nilijiskia vibaya mno mno, na hakika ukitazama watoto waliokosa upendo wa hivyo kwa kushuhudia kabisa kuwa wenzie wanakirimiwa kuwaliko kuna namna hawako sawa kabisa kabisa tofauti na yule mtoto aliyepokea upendo wa kumtosha na kumjaziliza..!
Bado sijakuwa mzazi I don't even know how it feels, hivyo natamani nijue, unapenda watoto wote ni kweli lakini kuna yule ambaye anagusa kabisa mtima wako moja kwa moja (nimeongea na wazazi wengi na wamekiri hili), hivi hakuna namna unaweza ficha hili wenzie wasijue na wakajiskia vibaya.?
Ama umewahi pitia ile hali katika ukuaji wako ya kujua wewe ndiye unapendelewa zaidi ama ni kinyume na hapo kuliko wenzio, na ulijiskiaje.??
Natamani wajuzi wa malezi na wazazi waliweke hili sawa ili tujifunze, maana kuna kizazi chenye watu wenye tabia za ajabu sana kinazidi kutengenezwa hivi sasa na hakuna anayewaza kuhusu hili kabisa..! Kuna watu unaweza walaumu kwa tabia wanazokuonyesha ukaishia kuwalaumu na kuwachukia kumbe ni MALEZI yao tu maskiini ndiyo yamewafikisha walipo..!!
Anyways Karibuni..!
Sawa ww me au keNakumbuka wakati niko mdogo, mimi nyumban ndo first born....nilipita kipindi kigumu sana katika ukuaji, hasa nilikua naona waziwazi jinsi ambavyo wadogo zangu mapacha walivyokua wanapenda. Hawa mapacha ni wakike na wakiume, bwana hwa jamaa darasani walikua wazima..hivyo niliona ambavyo mama anampenda mdogo wangu wa kiume na baba alikua anampenda mdogo wangu wa kike. Iliniumiza na kuninyima raha, kuna siku tulikaa kibarazani, sijui ilikuaje tukawa tupo watatu mimi, mama na baba. Ndipo nikawaambia wazazi wangu kiukweli nyie mi hamnipendi mnawapenda hawa wenzangu, ila mama akapinga na akasema hapana si kweli.
Mimi kutokupendwa kwangu kulitokana na sababu nyingi, kama ugomvi aseeh wiki haipiti sijaleta kesi nyumbani, hizi ngumi nimepigana sana.
Kingine darasanai sikua nafanya vizuri kama watoto wengine, hasa huyu wakiume ndo alikua anakua wakwanza mara nyingi, huyu wa kike labda watatu hivi. Ila namba zangu mi huko 20 na kitu.
Kiukweli kutokuoneshwa sipendwi kulinikomaza kiakili, na nikaanza kupambana na kuwa mtu ambaye nataka kuwaonesha ndani yangu kuna kitu.
Kwasasa nyumban mi ndo napendwa hasahasa mama yangu, ananipenda sana na hilo nalijua na nampenda sana mama kuliko maelezo.
Nawasilisha.
Nimekupata mkuu..Sio kwel mkuu.wazazi wangu have been so lovely considering i am the only born kwa mama yangu i was one of the best kwa baba yangu ambako tuko wengi but i was the first kid to excell in almost everything compared to my bloods.mzee wangu ni moja ya vitu alipendea but haikua na maana hakuwapenda wengine
So sijawah kosa upendo hata kidogo
Ila tu i hate hiz mambo za kuendekeza sana watoto i really do hate..that is y vijana now days wanakuwa wapumbavu sana mpaka kwenye maisha ya kujitegemea na kujisimamia..even simple life manners tu ni tatizo.
NakuelewaWatu tumechukiwa bila sababu Hadi timefukuzwa nyumbani na tumefuta undugu.
Saa hizi ndugu yangu ni mke wangu na watoto wangu tu, full stop
Siyo toto ni litoto mkuu [emoji16]Toto la mwisho Hujambo?!!!.
Asante litoto la mwisho.Siyo toto ni litoto mkuu [emoji16]
Huku kwema aisee. I hope na huko kwako kuko salama. Tumshukuru Mungu [emoji1545]
Yakobo alikua mtoto wa mama mda wote anadeka na ukimya ndio maana mamake akampenda sanaYou have said it all. Ila Yakobo naye alizidi, full time alikuwa anashinda hemani na mama yake! Aisee unaonekana husomi Bible juujuu tu, you go into details. Wala sifichi, nakuja PM [emoji3]