Hivi umewahi kumpiga girlfriend wako?

Nasema sijui kwa sababu sijawahi kupigwa, nje na mzazi wangu hakuna mtu aliyewahi kunipiga, kunifokea wala kuninyooshea kidole

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah!!!,hapo kuna mawili,moja yawezekana una nidhamu sana kiasi kwamba jamaa haoni shida yoyote kwako,hilo nasema kwasababu ndivyo mke wangu alivyo,kwa hiyo sijawahi kumpiga;Pili inawezekana wewe ni mbabe sana kiasi kwamba kidume hakohoi kwako,akishaingia ndani ni kufyata mkia mwanzo mwisho.
 
None of the above

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aah wapi..Sina hasira hizo..Mimi nakubonda haswaa
Hahah wewe umpige mwanaume labda hujazaa,wanawake wa sasa hivi wanazaa kwa kisu ukimgusa kidogo analia mshono na akifanya kazi kidogo analia mgongo
 

Eti akataka kunipeleka Polisi, ... nikamwomba msamaha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…