Hivi unaanzaje kuoa mwanamke aliyezaa?

Ila ma single mother wana upendo balaa
Hv vitoto vya 2000 miyeyusho tu vina zingua balaa coz vinaamini bado vinahitaji kuchezewa kwanza
Awe na upendo kwako! Wewe kwake ni substitute.
 
Fatilia watu wote wakubwa na waliofanikiwa ndoa zao

Except Mkapa tu na yeye ni vile hakuwa na mbegu

Ila the rest walioa fresh girl wabichi kabisa.

Ni utoto sana kuingia kwenye ndoa na demu kashafumuliwa malinda yote hana duh so sad!!!
Kwamba mkspa hana nini
 

Niilchogundua wanaume wa jf wanapenda sana kupewa attention Yani wanajua wakiazisha mada za kupondawanawake watapata comment nyiingi
na je pia umegundua nini baada ya kua single mazeri
 
Kuna tatizo gani? Wanawake karibia wote wamezaa au kutoa mimba.
Nyie ndo mnapiga magoti kuvalisha Pete huku watu washatumia hiyo malighafi miaka na miaka.

Mpende mamaako basi.
 


Kupendacho roho hula nyama mbichi!

Lakini pia Kwenye kuoa huwa na mambo mengi sana.

Wanaume wengi huoa kwa shinikizo la kichawi
kwa kurogwa na ushirikina.

Wewe mwenyewe mleta mada ukijichanganya tu unaweza kujikuta umefanya maamuzi ambayo hukuyatarajia.
 
Kwamba mwanamke aliyezaa kabla ya ndoa hafai sio? Hivi kati ya kuoa mwanamke aliyezaa na anayekuheshimu,na kuoa mwanamke ambaye hajazaa na akakuzalia mtoto wa nje ndani ya ndoa yako,kipi ni Bora?
Bora kuoa mwanamke ambaye hajazaa,na akuheshimu na na asikuzalie mtoto nje ya ndoa
 
Kumekuchaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Uhalisia ni kwamba hawa masingle maza wanaolewa sana kuliko hata vigoli maana akikukamata hutoki..lakini kuanza match 1:0 ni uwaki vijana msijichanganye
Mkuu wanaroga sana awa Single mother. Kuna mdau alisema akijua mtoto wake ana mahusiano na Mwanamke mwenye mtoto atafanya juuchini avenue mahusiano yao bola wao kujua.
 
mwanamke aliyezaa ndio mzuri sababu anakuypunguzia majukumu ya kutafta mtoto
 
Siwezi kuoa mwanamke ambaye amezaa aende kwa mumewe aliyemzalisha mtoto wa kwanza.!!
[/QUOTE] NAKAZIA HAPO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…