Hivi unaanzaje kuoa mwanamke aliyezaa?

Watakuona unaongea maneno makali lakini umeongea ukweli mtupu.
 
Tunaozaa na wanawake wa mtaani kisha kuwaacha bila mwelekeo ni sisi. Tunaowaanzishia mada ni sisi pia.
Wingi wao siyo sababu ya wao kunyanyasika.
Tunapenda kuwa nao lakini hatupendi kuwapa thamani yao, dada zetu na shangazi zetu hakuna namna watakuwa wa kiume ila kubakia wakike.

Kuna waliozalia kwenye ndoa, bahati mbaya Mungu aliwaita wakati familia zao zikiwahitaji.

Waliochagua kuzaa bila utaratibu watawajibika kwa makosa yao sambamba na waliovuruga ndoa zao kwa uzembe na makusudi.
 
This is the point here.
 
Hujapenda wewe
 
Kwahiyo unafikiri hao ma-vetran hawachiki tena kwasbb walishawahi kuzaa mahari, mwanamke hajifunzi.
 
Kuwa na adabu wewe, yaani umetoroka shuleni huko unakuja kuwapangia baba zako mwanamke wa kuoa?

How stupid are you?
 
Uko sahihi masingle mother ndo saiv wanajifanya wanaalakati wahaki wengi wanamioyo migumu sana
 
Hata sisi tulipokuwa na umri kama wa kwako tulifikiria kwa kina kama wewe na tulichagua pengine haitatokea kufanya hivo, lakini baada ya kuyaaelewa mambo kwa kina tuliona hilo halina advantage kwenye maisha halisi ya mwanaume kama unajua unataka nini, bado unasafari ndefu kujua hasa mwanamke ni nani. Me nadhani ungeendelea kunoa bongo zaidi.
Kwa kipindi hiki wanaume tunaoa kwa mkataba, ukiendelea kuamini hivo utakatwa hicho kichwa.
(Hata mimi najiuliuza kuna tofauti gani kati ya mwanamke mwenye mtoto na ambaye hana usichana wake?, hata ukianza naye kuzaa wewe bado utazaa naye tena watoto wengine, tofauti ni nini hapa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…