Hivi unaanzaje kuoa mwanamke aliyezaa?

Hivi unaanzaje kuoa mwanamke aliyezaa?

Bora ubaki bila kuoa Ila sio kuoa mwanamke mwenye mtoto.
Hayo mawazo mabovu ya kijinga. Akizaa kuna tatizo gani? Sasa wewe unadhani sifa kuzaa hovyo na kuwataka wakaolewe na waliowazalisha mbona wewe hukuwaoa hao kumi uliozaa nao? Hovyo kabisa.
Vijana oeni hao single mothers hakuna mwanamke mwenye mwanaume mmoja hata kama hajazaa.
 
huko tuendako wanawake waliozaa huenda wakawa kipaumbele kwenu
asilimia kubwa ya wanawake kwa sasa kubeba ujauzito ni mtihani kutokana na haya madawa ya uzazi wa mpango na aina ya maisha tuishiyo
unakuta mtt wa std 7 mpaka sec anatumia p2 na mengineyo
mpaka aje kufikia umri wa kuolewa kizazi hakina uwezo wa kushika mimba
ukiangalia umri umeenda unaamua kukimbilia kwa single mom angalau akupatie katoto ushanasa na
huduma unatoa🤣🤣🤣🤣
 
Kama ni hivyo basi bora usioe ambaye hana Bikra, maana utakuwa hujaepuka kitu kwa kuangalia mtoto tu, bora useme usioe mwanamke mwenye ma Ex, au aliyewahi kidhini.
 
Mwanaume timamu hata kama una watoto 5 nje ya ndoa unaanzaje kuoa mwanamke mwenye mtoto?

Kwamba mwanamke aliyezaa hata ukilala naye siku moja unashindwa kujua kwamba kazaa?

Unadanganywa kwamba sijazaa unakubali?

Mwanaume usikubali kuanza maisha na mwanamke mwenye mtoto

Labda kama unapasha tu !!!

Hata kama una watoto kumi nje ya ndoa oa mwanamke ambaye hajazalishwa!!

Mwanamke aliyezaa nje ya ndoa ana pepo la aliyemzalisha utasikia unajua yule baba yake na mwanangu alikuwa ananifanyia hivi alikuwa vile upuuzi upuuzi tu..!!!

Siwezi kuoa mwanamke ambaye amezaa aende kwa mumewe aliyemzalisha mtoto wa kwanza.!!
Kwamba mwanamke aliyezaa kabla ya ndoa hafai sio? Hivi kati ya kuoa mwanamke aliyezaa na anayekuheshimu,na kuoa mwanamke ambaye hajazaa na akakuzalia mtoto wa nje ndani ya ndoa yako,kipi ni Bora?
 
huko tuendako wanawake waliozaa huenda wakawa kipaumbele kwenu
asilimia kubwa ya wanawake kwa sasa kubeba ujauzito ni mtihani kutokana na haya madawa ya uzazi wa mpango na aina ya maisha tuishiyo
unakuta mtt wa std 7 mpaka sec anatumia p2 na mengineyo
mpaka aje kufikia umri wa kuolewa kizazi hakina uwezo wa kushika mimba
ukiangalia umri umeenda unaamua kukimbilia kwa single mom angalau akupatie katoto ushanasa na
huduma unatoa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa hivi ukitaka mwanamke unamjaza mimba kwanza
 
Kama anakuheshimu, anakujali na kukupenda kweli, si vibaya..huwezi kuwa jumuisha single mothers wote kwa kauli moja, bali wapo wenye haiba zao nzuri tu na wanajiheshimu, isipokuwa walikutana na Wanaume wasio na malengo ya muda mrefu na wao..
Hakuna singlemama mwenye mapenzi ya kweli kama si wewe uliyemzalisha
 
Back
Top Bottom