BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,350
- 1,464
Kinaitwa kifuko cha ghorofaniAlafu unakuta mtata mmoja anaikunja noti mara kumi na mbili ili iingie kwenye dosho kile kimfuko kidogo cha suruali ya jinzi kwanini noti isichakae!
N kuna wamaza wanakunja kwenye khanga.. au Bodaboda anavokupa chenji yaan wanaweka hela ova haina thamani.Alafu unakuta mtata mmoja anaikunja noti mara kumi na mbili ili iingie kwenye dosho kile kimfuko kidogo cha suruali ya jinzi kwanini noti isichakae!
wazo zuri..N kuna wamaza wanakunja kwenye khanga.. au Bodaboda anavokupa chenji yaan wanaweka hela ova haina thamani.
Bora tuache kutumia cash huduma za Lipa namba na online transactions ziwe nyingii
noti zinakunjwa sana mpaka zinachakaa,noti unaitoa bank leo hii ikiwa mpya ikipita kwenye mikono ya mama muuza,bodaboda,wala ngada,konda wa daladala tayari unaikuta ishabandikwa plasta imechoka mbaya[emoji23][emoji28]N kuna wamaza wanakunja kwenye khanga.. au Bodaboda anavokupa chenji yaan wanaweka hela ova haina thamani.
Bora tuache kutumia cash huduma za Lipa namba na online transactions ziwe nyingii
Wakisha print wanatuuziaWakisha print zinakuwa zanani?
kikwazo kipo wapi hadi hatuchapi hela nchini kwetu?Pesa, noti za Tanzania zina printiwa ujerumani.
Nchi mbili tu Afrika Mashariki ndo zinachapa fedha nchini mwao ( Kenya na Congo), pia ni nchi tisa tu kiujumla Afrika ndio zinachapa fedha zao ndani ya nchi zao.
Source: DW
Nchi za afrika na chapa za fedha
Trafficked with Mariana Van Zeller, kipo National Geographic channelKuna kipindi kiko discovery channel cha mwanamama uwa anafuatilia wahalifu mpaka kwenye source alienda huko latino america nchi nimesahau waharifu wa kule kazi kubwa ni kuprint dollar fake.
Jamaa wanaprint na kuziwekea details koasi kwamba kwa mtu ambaye hana uzoefu wa kutosha huwezi jua. Hadi ukiishika unafeel texture. Moja ya vitu wanavyotumia ni amziwa ya formular ya watoto