Hivi unafahamu pesa ya Tanzania inachapishwa Ujerumani?

Hivi unafahamu pesa ya Tanzania inachapishwa Ujerumani?

Alafu unakuta mtata mmoja anaikunja noti mara kumi na mbili ili iingie kwenye dosho kile kimfuko kidogo cha suruali ya jinzi kwanini noti isichakae!
N kuna wamaza wanakunja kwenye khanga.. au Bodaboda anavokupa chenji yaan wanaweka hela ova haina thamani.

Bora tuache kutumia cash huduma za Lipa namba na online transactions ziwe nyingii
 
In Kenya printer ni De laRue .. according to article you've linked. Cha msingi for a country to print and mint its own currency mifumo iliyopo ya kiuchumi inafanya zoezi hilo ligubikwe ugumu maana kuna monopoly kwenye hiyo tasnia, kuanzia mtengenezaji wa wino,karatasi,vigandamizio,alama za usalama etc
 
N kuna wamaza wanakunja kwenye khanga.. au Bodaboda anavokupa chenji yaan wanaweka hela ova haina thamani.

Bora tuache kutumia cash huduma za Lipa namba na online transactions ziwe nyingii
noti zinakunjwa sana mpaka zinachakaa,noti unaitoa bank leo hii ikiwa mpya ikipita kwenye mikono ya mama muuza,bodaboda,wala ngada,konda wa daladala tayari unaikuta ishabandikwa plasta imechoka mbaya[emoji23][emoji28]
 
Kuna kipindi kiko discovery channel cha mwanamama uwa anafuatilia wahalifu mpaka kwenye source alienda huko latino america nchi nimesahau waharifu wa kule kazi kubwa ni kuprint dollar fake.

Jamaa wanaprint na kuziwekea details koasi kwamba kwa mtu ambaye hana uzoefu wa kutosha huwezi jua. Hadi ukiishika unafeel texture. Moja ya vitu wanavyotumia ni amziwa ya formular ya watoto
 
Bora tuprint huko huko, kwa akili za kina Nape, Makamba na Mwigulu tukiziprint ndani baada ya muda mfupi wanaweza wakaja na hoja kwamba mitambo ya kuprint ni mibovu kwa sababu haijafanyiwa ukarabati muda mrefu, kwa hiyo wanafanya mazungumzo na Serikali ya Burundi tukodishe pesa zao kwa muda mpaka mitambo mipya ya mtumba itakapoingia nchini kwa mkopo kutoka ujerumani kuendelea na zoezi la uzalishaji pesa.
 
Kuna kipindi kiko discovery channel cha mwanamama uwa anafuatilia wahalifu mpaka kwenye source alienda huko latino america nchi nimesahau waharifu wa kule kazi kubwa ni kuprint dollar fake.
Jamaa wanaprint na kuziwekea details koasi kwamba kwa mtu ambaye hana uzoefu wa kutosha huwezi jua. Hadi ukiishika unafeel texture. Moja ya vitu wanavyotumia ni amziwa ya formular ya watoto
Trafficked with Mariana Van Zeller, kipo National Geographic channel
 
Nchi ya hovyo hii kuanzia madalaka ni hovyo tu juzi nacheki taarifa kuna mjinga mmoja anasema ujerumani imetoa tsh bil. 200 Za msaada kwa tz kwanza nikawaza badae nikaona ni ufwala tu
 
Back
Top Bottom