Hivi unajua kuna watu wapo kwenye ndoa lakini hawaamini kama ni chaguo lao

Hivi unajua kuna watu wapo kwenye ndoa lakini hawaamini kama ni chaguo lao

Sasa kwann usimwambii mwenzio kama humpend ili ajue na yy aanzishe maisha yake anaweza pata mtu atakae mpenda kuliko unavyomfanyia kumbuka huyo mchepuko wako nae ukimuoa utajikuta unamuona wakaida na hutompenda ...siku zote mapenz ya uhawara huwa hayaishi hamu hata mkae miaka 20 sababu kila mtu yupo kwake mkikutana kila mtu anakua hot hamjagusana kitu kimelegea ila ndoa uvumilivu mwenzio anashinda na wtt kaz za nyumban zote Zake stress kwenda mbele na bado mda wa tendo huwez kumpa maneno matamu yakumsahaulisha stress zake we ukigusa kiuno ukiona halegei unaweka mate unamaliza mchezo ..kwa stail hyo utamchukia mkeo maisha yako yote ...wanaume weus hamjui kuwapet pet wake zenu ni wabinafsi mnajijali nyie tu.
Haya mambo ya ndoa ni kuomba Mungu akupe mtu mnayefanana. Ni kama mchezo wa bahati nasibu, kama mdogo wako anateswa na mumewe basi yupo mwanaume vike vile anateswa na mkewe kama mdogo wako.

Kazi niliyokuwa nafanya awali ilikuwa kwenye NGO inayohusika na maswala ya kutoa ushauri wa kindoa na kusaidia kinamama walotelekezwa pamoja na watoto na pia watoto wa kike walio katika mazingira hatarishi.

Swala la ndoa ni swala pana, dhana ya kusema wanaume pekee ndiyo wanaocheat ilinitoka hapo.

Kuna wanawake wanapendwa jamani, mume anajitoa kwa kila hali na kwa kila jambo mpaka unasema huyu dada ana bahati jamani. Lakini mwanamke hasikii haelewewi anacheat, anatoroka nyuumbani kwa visingizio vya kijinga anaenda kwa kudumu.

Mpaka mwanaume anakuja kulalamika then mke anaitwa na psychologist anahojiwa kuna tatizo gani kwenye ndoa anasema hakuna!! Kinachokufanya ufanye uovu ilhali mumeo anakupenda ni nini, anajibu basi tu shetani kanipitia sirudii tena na baada ya siku mbili karudia. Yaan ni kero tupu.

Huo ni mfano mmoja lakini tatizo kubwa ni kwamba wanaume wengi huwa hatuzungumzi matatizo ya ndoa. Wengi tunajaribu kusolve wenyewe ndani kwa ndani na kuugulia na hata wengine unakuta tunajikuta tunakuwa walevi tukijaribu kutafuta faraja. Mbaya zaidi ukianza kunywa pombe hapo napo ndipo mwanamke anapatia kisingizio kwa kusema huyu bwana mlevi na kwa sababu unaonekana hakuna wa kupinga. Kesi ishahama.

Kwa wanaume wengi ukiona tatizo limetoka nje yaani kaanza kulisema basi ujue lishamfika mtu kooni. Hali hii husababisha jamii kuhisi kuwa watendwa ni wanawake tuu na wanaume hawatendwi.

Nimeshuhudia kesi nyingi sana wanaume wanakuja wanaongea wanalia, wake zao wanawatesa yaan mke hapendeki hata afanyeje na hata mke akiitwa akiulizwa tatizo nini hana jibu.

Nasikitika ile NGO ilikuwa moja tu mkoa ule ila sasa ishafungwa miaka kadhaa iliyopita.

Dhana ya wanaume weusi sijui nini na nini na kwa kuchukulia mfano mmoja wa mdogo wako bado hukutenda haki. Ingekuwa wazungu pekee ndiyo wapo smart kwenye mahusiano basi nchi zao zisingekuwa na migogoro ya ndoa!!

Nitajaribu kuattach takwimu ya migogoro ya ndoa ambayo ipo officially nchi za weupe uone jinsi ilivyo mingi na hiyo ni ile imefikishwa idara husika upate picha idadi ya wanaume wa kizungu wanaolalamikiwa kwa unyanyasaji wake zao!!

Cha msingi hapo wewe shukuru Mungu umebahatika mtu anayekujali. Mwenye caring inayokuridhisha lakini zaidi ya yote mmeendana vinginevyo kunao wenzio wanalalamika vile vile kuwa wanaume wa kizungu hawana maana.

Vice versa, wanawake pia wananyanyasika sana. Kama hujaoa/hujaolewa omba sana Mungu pia kuwa makini na historia ya familia unayoenda kuoa/kuolewa. Ukikuta familia nzima ina historia ya kutokudumu kwenye ndoa kimbia hapo ujue kuna pepo. Mfano baba na mama waliachana, watoto wapo saba wanaoa na kuacha na wakike wanaolewa na kuachwa hakuna anayeishi kwenye ndoa ya furaha.

Ukija kwa mababu nako hivyo hivyo. Hapo kimbia tuu
 
Duh mm mmoja wao yaan I hate my wife. Sijawahipiga picha naye toka tumeoana, nikitoka naye out mara chache sana toka tumeoana over 9yrs nishatoka nae mara 4 huwa natafuta sababu yyt either tukae mada mfupi sana, ama naondoka namwacha na watoto. Mchepuko ndo naupenda balaa, nimekaa nao for 4yrs umegoma kuzaa nanmm eti mme wa mtu, juzi juzi ikabidi niuteme, ss una mimba ila bado nauoenda s\na tu na kila siku lazima tuongee. Na wenyewe unanipenda kufa kupona.na wala si kwa sababu ya kunichu la hasha hata huwa simhudumii kivile
Maskini weeh!
 
Sasa kwann usimwambii mwenzio kama humpend ili ajue na yy aanzishe maisha yake anaweza pata mtu atakae mpenda kuliko unavyomfanyia kumbuka huyo mchepuko wako nae ukimuoa utajikuta unamuona wakaida na hutompenda ...siku zote mapenz ya uhawara huwa hayaishi hamu hata mkae miaka 20 sababu kila mtu yupo kwake mkikutana kila mtu anakua hot hamjagusana kitu kimelegea ila ndoa uvumilivu mwenzio anashinda na wtt kaz za nyumban zote Zake stress kwenda mbele na bado mda wa tendo huwez kumpa maneno matamu yakumsahaulisha stress zake we ukigusa kiuno ukiona halegei unaweka mate unamaliza mchezo ..kwa stail hyo utamchukia mkeo maisha yako yote ...wanaume weus hamjui kuwapet pet wake zenu ni wabinafsi mnajijali nyie tu.
Unaweza kukuta mumeo ni mjaluo ...unajitia kuponda weusi wakat wanaume weupe unaona dyudyu zao kwenye v.deo za pono tu. Ushawahi hata kudate msomali ukaona utofauti? Tuondolee stress zako za kuolewa hapa!! Shwain
 
Sasa kwann usimwambii mwenzio kama humpend ili ajue na yy aanzishe maisha yake anaweza pata mtu atakae mpenda kuliko unavyomfanyia kumbuka huyo mchepuko wako nae ukimuoa utajikuta unamuona wakaida na hutompenda ...siku zote mapenz ya uhawara huwa hayaishi hamu hata mkae miaka 20 sababu kila mtu yupo kwake mkikutana kila mtu anakua hot hamjagusana kitu kimelegea ila ndoa uvumilivu mwenzio anashinda na wtt kaz za nyumban zote Zake stress kwenda mbele na bado mda wa tendo huwez kumpa maneno matamu yakumsahaulisha stress zake we ukigusa kiuno ukiona halegei unaweka mate unamaliza mchezo ..kwa stail hyo utamchukia mkeo maisha yako yote ...wanaume weus hamjui kuwapet pet wake zenu ni wabinafsi mnajijali nyie tu.
yaaani ndio maana watu wengi wanatumia fake ID humu ..imagine mke wahuyo Jamaa kama angekuwa anaona hayo maneno aliyoyaongea mkewe...dadeq dunia inamambo hii
 
Ndio ...tumeoana mwaka wa 7 huu lkn kila cku kama mmeoana leo ...lkn mdg wangu mwaka wa 2 kwenye ndoa tyr malalamiko kibao
hata wanawake weusi nao nikabali mkuu
yaani nichangamoto sio kidogo
 
ahhh maisha magumu haya shoga tuwazage kutafuta tu hela mengine mbwembwe!yaan ukitaka unikere andika kama hvyo !hahahahahaha
hahaasa hahaaaa nimecheka mpaka mtaa mzima umeskia yaani...kwahiyo hata juice now days waiskia kwa radio
 
Kama ni kweli usemayo, unafanya mambo ya kipumbavu sana mkuu.

Thamini mke mchepuko ni mapito tu.
ngoja afikisike ndio atakuja kuitambua thamani ya familia yake
kuna watu wengine huwa hawawi naakili timamu mpaka maisha ya wale 0713
 
Up
Mtu mmekutana mkiwa mnamiaka kuanzia 20 au 30....mmekaa kidogo mmeoana.....ulikua unahisi umemuelewa kumbe ndo hata asilimia 1 hukufika..ukikaa nae unaona mambo mengi ya ndani ambayo huyajui....upendo wa kudumu utatoka wapi hapo?.
Watu kwenye ndoa wanavumiliana tu na kupotezea..hamna jipya...
Kudefine neno upendo ni kazi sana.
Upendo ni pamoja na uvumilivu
 
Tatizo ni kuwa watu hawaamini kuwa ndoa huja kwa wakati MUAFAKA (mara lipatikanapo chaguo sahihi) na sio kwa sababu umefikia umri au hatua fulani ya maisha. Wengi zaidi ya 90% huoa/kuolewa kwa sababu ya shinikizo la jamii. Yaani akiona agemates wake wanaoana wanaisha na jamii inaanza kumuuliza wewe lini basi anaolewa/anaoa (na yeyote anayekuja mbele yake) na majuto yanaanza MARA TU baada ya kiapo cha ndoa.
Wapo wanaochagua mnoo na bado wanapata koroma... Mda mwingine jitose ukiridhika na mtu, utajua mengine mbeleni
 
Yani ukisikia ninge huja likishatokea,kipind namuoa nilijua nimepata kwel,mpole,msikivu,mwelewa,ushung 24hrs after kuoa tu sio mapichapicha hayo gubu,wivu Wa kijinga usisalimiane na Jirani ohh demu wako haijarish at a awe bibi.kinacho nisikitisha ananyota ya kupotze mwanzo mwisho,Ila ndo ivo nishakubal matokeo.
Tatizo mnataka binadamu awe na sifa nzuri tuuu wakati hali halisi mtu anakua na tabia nzuri na mbaya...ishi ukifurahia mema yake zaidi yamulike kuliko mabaya utamfurahia hata the worst person..
 
Sasa kwann usimwambii mwenzio kama humpend ili ajue na yy aanzishe maisha yake anaweza pata mtu atakae mpenda kuliko unavyomfanyia kumbuka huyo mchepuko wako nae ukimuoa utajikuta unamuona wakaida na hutompenda ...siku zote mapenz ya uhawara huwa hayaishi hamu hata mkae miaka 20 sababu kila mtu yupo kwake mkikutana kila mtu anakua hot hamjagusana kitu kimelegea ila ndoa uvumilivu mwenzio anashinda na wtt kaz za nyumban zote Zake stress kwenda mbele na bado mda wa tendo huwez kumpa maneno matamu yakumsahaulisha stress zake we ukigusa kiuno ukiona halegei unaweka mate unamaliza mchezo ..kwa stail hyo utamchukia mkeo maisha yako yote ...wanaume weus hamjui kuwapet pet wake zenu ni wabinafsi mnajijali nyie tu.
Umechangia vizuri, Umeharibu uliposema wanaume weusi Fanya tafiti au ulizia Tabia za hao weupe ujue, usiamini tamthiliya. Usimuamini mtu kutokana na rangi yake. Jaribu kufuatilia Maisha ya dada zetu waliochukuliwa na wanaume happy weupe na Kuishi nao ughaibuni, utapata majibu.
 
Back
Top Bottom