Mjomba Fujo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 2,602
- 6,754
Na hiyo ndio tafsiri ya utofauti wa uchumi mkubwa na mdogo sio hizi za bongo na kenya ni ziko sawa tu.Hii inaenda sambamba na malipo: posho, mshahara, tips nk
Deiwaka wa US anakula mkwanja mrefu kuliko daktari wa Bongo!
πππ
(I am joking π but you get my point).
Kama unazungumzia uchumi na akisi yake ndipo hapo unaitaja tz na marekani na pesa yake.Vipi kuhusu dolanya US na shilingi ya TZ, bado thamani ya fedha haiakisi hali uchumi?
Bei zao na zetu ni zile zile tu hakuna tofautiIlitakiwa wanunue chapati Tsh ngapi ili uchumi wao uwe mkubwa? Vipi sisi tunanunua bei kubwa kuliko wao, uchumi watu ukoje?
Jitahidi uhamie Kenya mkuu.Uchumi wa kenya uko juu japokuwa hawana rasilimali nyingi kama Tanzania
Kenya inajangwa upande wa kasikazini, Tanzania yetu hii uchumi umeganda haueleweki kama unapanda au unashuka rasilimali tunazo nyingi sana Mungu ametubariki ila ndo taifa Masikini Afrika ,what a shame my broh?
Ukiwa na elfu 38 ya bongo Kenya ni hela ya kula miwa tu just elf 2 tuπ dah
Sasa kama wewe hujui, kwa nini umeanzishia uzi?hio currency utajua mwenyewe
Si tulishakataa matumizi ya dola jamani, mbona kwenye deni wanataka tutumie Dola tena?Kuna Kiongozi mmoja wa Jamhuri ya kusadikika aliliambia Bunge kwamba hayo mahela ya deni yanaoneka mengi cause its TZS ati tuyagawe kwa dola ya US ili tujue deni halisi.
Mfano?Bei zao na zetu ni zile zile tu hakuna tofauti
Wewe acha kujitoa akili.Achana na purchasing power uzi ni Kes vs Tsh basi
Indicators of a healthy economyWanatuzidi uchumi wa jumla,wa mmoja moja,na hata idadi ya watu.
- Kama unazungumzia uchumi na akisi yake ndipo hapo unaitaja tz na marekani na pesa yake.
KWa hii ya kenya kuitanguliza pesa pekee hapa italeta mkanganyiko kama huo huko juu.
Kweli mkuu, mathalani 100 KES ni sawa na 114 Yen. Sasa kiuhalisia uchumi wa Kenya ni sawa au umezidi uchumi wa Japan?Sasa kama wewe hujui, kwa nini umeanzishia uzi?
Thamani ya currency is not necessarily implication ya uchumi bora. Mifano ni mingi
Ila Kenya hawazidi muwa kwa kshs 2000, muhindi wa kuchomawanauza kshs 200 kuna tatizo?Uchumi wa kenya uko juu japokuwa hawana rasilimali nyingi kama Tanzania
Kenya inajangwa upande wa kasikazini, Tanzania yetu hii uchumi umeganda haueleweki kama unapanda au unashuka rasilimali tunazo nyingi sana Mungu ametubariki ila ndo taifa Masikini Afrika ,what a shame my broh?
Ukiwa na elfu 38 ya bongo Kenya ni hela ya kula miwa tu just elf 2 tuπ dah
Kipimo kizuri cha uchumi mkubwa na mdogo ni hiki.Mi naomba kueleweshwa hapa
250,000tsh ni sawa na 12,887.5ksh
Kwa Tanzania hiyo 250,000 ninaweza kupata LED TV inch 32, je mkenya akiwa na hiyo 12,887.5 anaweza kununua LED TV inch 32?
1.Kama jibu ni ndiyo inamaana hatuna tofauti
2. Kama jibu ni hapana inamaana tumewazidi
3. Kama jibu ni anaweza kupata TV na chenji ikabaki/TV zaidi ya moja inamaana wametuzidi
Thamani ya pesa ni MANUNUZI siyo NAMBA.
Leta hapa na bei zifuatazo kati ya TZ na Kenya.
- Kilo ya unga
- Nauli ya daladala
- Mtungi wa gesi
- Luku
- Kodi chumba kimoja
- Pesa kumuona dakt
Kuna jambo kubwa hapa la kutazama na sio kuishia tu kwenye bei za vitu ukaona Tanzania tuko vizuri.Thamani ya pesa ni MANUNUZI siyo NAMBA.
Leta hapa na bei zifuatazo kati ya TZ na Kenya.
- Kilo ya unga
- Nauli ya daladala
- Mtungi wa gesi
- Luku
- Kodi chumba kimoja
- Pesa kumuona daktari
Kuhusu hali ya maisha, Afrika nzima hakuna wa kumcheka mwenzie.Kupunguza masufuri sio issues sana ninachotaka kuhoji Ile Purchasing Power inabaki ile ile tu
Yaan anachonunua 254 kwa laki moja ambayo ni sawa na 2M kwa 255 ndio hikohiko pia kingine unatakiwa ujue hao jamaa licha ya huo uchumi wao kusema upo juu na wanapesa yenye thamani bado wana maisha magumu sana mkuu
Kenya hali ni TETE kwa Mwananchi wa kawaida.Kuna jambo kubwa hapa la kutazama na sio kuishia tu kwenye bei za vitu ukaona Tanzania tuko vizuri.
Je fursa za kupata hiyo hela kati ya Tanzania na Kenya uko vipi?
Mfano tunapoangalia mpira viwanja vya ulaya,viwanja vinajaa,,lakini kiingilio chao kwa fedha ya Tanzania ni laki kadhaa, lakini hapa Tz kiingilio Cha elfu Tano kinatutoa jasho.