Nadhani uchumi sio swala la purchasing power peke yake ni pamoja na uwezo wa kupata hiyo hela ukoje.Thamani ya pesa ni MANUNUZI siyo NAMBA.
Leta hapa na bei zifuatazo kati ya TZ na Kenya.
- Kilo ya unga
- Nauli ya daladala
- Mtungi wa gesi
- Luku
- Kodi chumba kimoja
- Pesa kumuona daktari
Ndio maana US hakukaliki na TZ kunakalika.Nadhani uchumi sio swala la purchasing power peke yake ni pamoja na uwezo wa kupata hiyo hela ukoje.
Mfano Gharama ya kumuona specialist Tanzania ni Tshs30,000,, USA kumuona daktari wa kawaida ni usd 150,, ambayo ni zaidi ya laki 3 ya TZ.
Achana na purchasing power uzi ni Kes vs Tsh basi
Sio kweli, tofauti ni kwamba utaratibu wakusaidiana na kujaliana sisi bado tunao. Wao ni wakibepari zaidi, ubinafsi mwingi na ukitaka pesa utaipata kadili inavyofanya kazi na kujibiidishaKenya hali ni TETE kwa Mwananchi wa kawaida.
Ninkweli, ila Ke ya hata ukijibisha bado kuna ugumu.Sio kweli, tofauti ni kwamba utaratibu wakusaidiana na kujaliana sisi bado tunao. Wao ni wakibepari zaidi, ubinafsi mwingi na ukitaka pesa utaipata kadili inavyofanya kazi na kujibiidisha
Tukijua inasaidia nini we ngedere, kazi umbea kafanye kazi ya kukuingizia pesa siyo ushambenga, kenge kweliUchumi wa kenya uko juu japokuwa hawana rasilimali nyingi kama Tanzania
Kenya inajangwa upande wa kasikazini, Tanzania yetu hii uchumi umeganda haueleweki kama unapanda au unashuka rasilimali tunazo nyingi sana Mungu ametubariki ila ndo taifa Masikini Afrika ,what a shame my broh?
Ukiwa na elfu 38 ya bongo Kenya ni hela ya kula miwa tu just elf 2 tu😁 dah
Chapati za masaki? Au tandale hizo za 2000 Hadi 1000?Chapat Dar tsh 1000 mpaka 2000 inategemeana na sehemu.
Usibanwe na mavi bure we bwege, exchange rate na Kenya haina maana kubwa vitu vingi tunaagiza kutumia USD, unajua exchange rate ya Riyadh ya Saudia?Uchumi wa kenya uko juu japokuwa hawana rasilimali nyingi kama Tanzania
Kenya inajangwa upande wa kasikazini, Tanzania yetu hii uchumi umeganda haueleweki kama unapanda au unashuka rasilimali tunazo nyingi sana Mungu ametubariki ila ndo taifa Masikini Afrika ,what a shame my broh?
Ukiwa na elfu 38 ya bongo Kenya ni hela ya kula miwa tu just elf 2 tu😁 dah
We ni mavi iliyoozaSamia katuharibia sana uchumi japo kuwa wachumi uchwara kama mwigulu hututaganya tuko vizuri
Inaonekana wewe ulikosa mlo kamili KIPINDI Cha makuzi Yako Hadi akili Yako ikadumaa kama ya nguruweT7
Tukijua inasaidia nini we ngedere, kazi umbea kafanye kazi ya kukuingizia pesa siyo ushambenga, kenge kweli
Chapati za masaki? Au tandale hizo za 2000 Hadi 1000?
Na kumalizia kabisa minimum wage serikalini Tanzania 500,000 na Kenya Ksh 15,000Yeah hafu wao Maji 1L ya Dasani KES 100 ambayo sawa na Tsh 2,000
Wakati sisi 1L TSH 700
HAya ni madhara ya uchumi mkubwa kwenye eneo dogo lenye watu wachache,ndipo PPPI inapoibuka hapo.Nishaishi Nairobi. Maisha ya pale si lelemama. Rent nilikua nalipa 30,000, matatu nauli si fixed. Kuna pick hour nauli inapaa, ama upande nganya wakucharge wanavyotaka.
Unaishi kwa mashaka mashaka. Huwezi enda kwa beshte Yako uvizie time ya lunch akupee
Yaani Kuna kauchoyo Fulani. Hawaishi ki community kama huku.
Long story short. Maisha ya 255 ni cheaper compared to 254.
Mkuu mfano wako huo ndio purchasing power yenyewe.Nadhani uchumi sio swala la purchasing power peke yake ni pamoja na uwezo wa kupata hiyo hela ukoje.
Mfano Gharama ya kumuona specialist Tanzania ni Tshs30,000,, USA kumuona daktari wa kawaida ni usd 150,, ambayo ni zaidi ya laki 3 ya TZ.
Principle of demand and supply.HAya ni madhara ya uchumi mkubwa kwenye eneo dogo lenye watu wachache,ndipo PPPI inapoibuka hapo.
Bidhaa ile ile inayozalishwa nairobi baada ya dkk 20 itakuwa imeuzwa kwa watu 5 tu kwenye eneo la kms kadhaa za mraba,kitu kitakachofanya ipande bei.
Wakati bidhaa hiyo hiyo hapa tz baada ya dkk 20 inakuwa imeuzwa kwa watu 9 kwenye ebeo la kms za mraba na kufanya iwe na uhakika zaidi wa soko hivyo kushuka bei.
Thamani ya hela ku reflect ama kutoreflect uchumi ni pale inapokua haipo stable, biashara na uwekezaji havipendi hela ambayo inashuka na kupanda kila siku, ila hela kupanda ama kushuka vyote vina faida kwenye uchumi.Vipi kuhusu dola ya US na shilingi ya TZ, bado thamani ya fedha haiakisi hali uchumi?