AlphaMale_
JF-Expert Member
- Aug 12, 2023
- 246
- 552
Mbona kwacha hamsemi?1 TSh = 0.00040 US Dollar
1 KSh = 0.0077 US Dollar
Nb:
1 Us D= 129.06 KSh
1 Us D = 2,505.00 TSh
Kimahesabu hapa Ksh. 129.06 ni sawa na Tsh. 2,505.
Fedha ya Kenya ina thamani kuliko Tsh.
We wap wewe chapat2 jero karibia nch nzimaChapat Dar tsh 1000 mpaka 2000 inategemeana na sehemu.
400 ni usd au ksh au tsh? Mimi nakula chapati tsh 1000 na sehemu nyingine tsh 2000We wap wewe chapat2 jero karibia nch nzima
Kwenye ugumu chapat tatu buku kama dar huko...
Sasa Kenya chapat moja 400 tena mombàsa huko ukienda Nairobi unapata chapat kwa 2000 ya kibongo
Bob ndio nini? Ni Senti au takataka gani?Chapati kenya ni 20 bob ambayo ni 400 tsh alafu kunawatu wanasema kenya wapo vizuri kiuchumi, uchumi gani
Shida ya watanzania mnakimbilia kujadili mambo siyokua na ujuzi nayo.Uchumi wa kenya uko juu japokuwa hawana rasilimali nyingi kama Tanzania
Kenya inajangwa upande wa kasikazini, Tanzania yetu hii uchumi umeganda haueleweki kama unapanda au unashuka rasilimali tunazo nyingi sana Mungu ametubariki ila ndo taifa Masikini Afrika ,what a shame my broh?
Ukiwa na elfu 38 ya bongo Kenya ni hela ya kula miwa tu just elf 2 tu😁 dah
Kenya bei iko juu kabisa aisee.Bei zao na zetu ni zile zile tu hakuna tofauti
Kenya hapo hawana hata kimoja.Indicators of a healthy economy
- Stable democracy
- Military might
- Rule of law
- Standards of living, social issues, religion, etc
- Education, health, mortality rate
- Individual freedom & happiness index
- Nation reserve
- Import and export
- Diplomacy & international relations
- Independence - how much a country depend on itself in case of let's say a sudden epidemic, catastrophic occurrence or even war?
Hiyo sio hoja. Hoja ni thamani ya hela vs uchumiFedha ya Kenya ina thamani kuliko Tsh.
Purchasing power ya usd na kshs kwa hapa TZ Ina thamani zaidi kuliko Tshs,, nilitaka nieleweke hivyo nadhani nilikua nasinzia wakati naandika😄Mkuu mfano wako huo ndio purchasing power yenyewe.
Au wewe unaelewaje?
Yeah Elimu haina mwisho
Niliuliza specific kwa dolanyanUS na Tz shilingThamani ya hela ku reflect ama kutoreflect uchumi ni pale inapokua haipo stable, biashara na uwekezaji havipendi hela ambayo inashuka na kupanda kila siku, ila hela kupanda ama kushuka vyote vina faida kwenye uchumi.
Kuna Nchi kama China kimakusudi wanashusha hela yao thamani.
Dola yenyewe imepitwa na Riyal ya Oman, Kuwait, pound ya Uingereza, Euro, franc ya Uswis etc je hizo Nchi zimeipita USA kwa Uchumi?
Jibu rahisi na la moja kwa moja ni kwamba gharama za maisha Marekani ni kubwa kuliko Tanzania.Mbona wazungu watalii wanapenda kwenda kwenye nchi ambazo thamani ya pesa Yao Iko chini..
mfano umeenda marekani kusoma ukapata fursa ya kufanya kazi ukakusanya pesa,, pesa hiyo marekani inaonekana ni ndgo lakini ukija nayo huku unafanya vitu vikubwa hii imekaaje,?
Swala hapa sisi ni masikini kiasi kwamba vitu vikuzwa kama marekani hatuwezi nunua au sisi ni matajiri hivyo vitu ni vingi mpaka vimekosa Soko ndo maana vinauzwa Bei ya chini l naomba ufafanuzi.
Hayana maana sanaUchumi wa kenya uko juu japokuwa hawana rasilimali nyingi kama Tanzania
Kenya inajangwa upande wa kasikazini, Tanzania yetu hii uchumi umeganda haueleweki kama unapanda au unashuka rasilimali tunazo nyingi sana Mungu ametubariki ila ndo taifa Masikini Afrika ,what a shame my broh?
Ukiwa na elfu 38 ya bongo Kenya ni hela ya kula miwa tu just elf 2 tu😁 dah
Duh!..Hiyo haina maana... pesa ya Kenya imeizidi thamani pesa ya South Korea yenye uchumi mkubwa zaidi ya mara 10 ya Kenya
Je kwa Kenya hiyo Ksh ina purchasing power parity kuliko?Purchasing power ya usd na kshs kwa hapa TZ Ina thamani zaidi kuliko Tshs,, nilitaka nieleweke hivyo nadhani nilikua nasinzia wakati naandika😄