Mmeendekeza uccm mnoo. Nchi hii imeharibiwa sana na u CCM na usimba na u yanga.Uchumi wa kenya uko juu japokuwa hawana rasilimali nyingi kama Tanzania
Kenya inajangwa upande wa kasikazini, Tanzania yetu hii uchumi umeganda haueleweki kama unapanda au unashuka rasilimali tunazo nyingi sana Mungu ametubariki ila ndo taifa Masikini Afrika ,what a shame my broh?
Ukiwa na elfu 38 ya bongo Kenya ni hela ya kula miwa tu just elf 2 tu[emoji16] dah
Pamoja na kejeli za English na thamani ya shilingi ambayo kiuhalisia haina mashiko, wakenya nawasifu kwa kitu kimoja wapo aggressive kwenye fursa kitu ambacho watazania wengi wameridhika na wamezubaa,Hatuna cha kujifunza kwao hao majirani
Tz kila mtu anajua...Pamoja na kejeli za English na thamani ya shilingi ambayo kiuhalisia haina mashiko, wakenya nawasifu kwa kitu kimoja wapo aggressive kwenye fursa kitu ambacho watazania wengi wameridhika na wamezubaa,
Ndio maana unasikia kuna viwanda vingi vya vifungashio kenya ukisikia mgomo kidogo kwao wafanyabiashara huku wanaweweseka, pia baadhi ya vitu vingi kenya vimekua introduced ila bongo hamna, hata majiji kama dsm na Nairobi kuna tofauti baadhi ya huduma/service hazipo tz ila zipo Nairobi ndio hicho tunasema wapo macho mbelembele kwenye fursa, wabongo wamekalia ccm na habari za udaku za wasaniii.
Ukiambiwa baadhi ya spare zinabei nzuri kenya kuliko tz sababu kuu ni watu wachache sana wanahusika Na hizo spare Tz ndio inapelekea bei kuwa kubwa lakini kwa kenya unakuta kuna ushindani ndio mana bei zinakua chini.
So na hapa tutasema Bado hawajatuzidi uchumi?Indicators of a healthy economy
- Stable democracy
- Military might
- Rule of law
- Standards of living, social issues, religion, etc
- Education, health, mortality rate
- Individual freedom & happiness index
- Nation reserve
- Import and export
- Diplomacy & international relations
- Independence - how much a country depend on itself in case of let's say a sudden epidemic, catastrophic occurrence or even war?
Hapa nimetoka mtupu alieelewa anielewesheChapati kenya ni 20 bob ambayo ni 400 tsh alafu kunawatu wanasema kenya wapo vizuri kiuchumi, uchumi gani
Sarafu haipimi ukubwa wa uchumi,sarafu ya kenya ina thamani kuliko ya korea kusini,urusi, Iran, sarafu t Oman ina thamani kuliko ya marekani,sarafu ya uingereza ina thamani kuliko ya marekaniUchumi wa kenya uko juu japokuwa hawana rasilimali nyingi kama Tanzania
Kenya inajangwa upande wa kasikazini, Tanzania yetu hii uchumi umeganda haueleweki kama unapanda au unashuka rasilimali tunazo nyingi sana Mungu ametubariki ila ndo taifa Masikini Afrika ,what a shame my broh?
Ukiwa na elfu 38 ya bongo Kenya ni hela ya kula miwa tu just elf 2 tu😁 dah
Currency purchasing powerMbi
Hapa nimetoka mtupu alieelewa anieleweshe
Tukizungumzia dhana ya purchasing power, idea ni kwamba laki ya Kenya inaweza kununua vitu kiasi gani ikilinganishwa na kisawia (equivalent) cha laki hiyo huku Tanzania ambayo ni 1.97M TZS.Purchasing power ya usd na kshs kwa hapa TZ Ina thamani zaidi kuliko Tshs,, nilitaka nieleweke hivyo nadhani nilikua nasinzia wakati naandika😄
Who cares,sisi tunakula nyama choma,tunafanya lacal safari,tunakwenda kizmkazi na kuogelea,we are all Happy.Uchumi wa kenya uko juu japokuwa hawana rasilimali nyingi kama Tanzania
Kenya inajangwa upande wa kasikazini, Tanzania yetu hii uchumi umeganda haueleweki kama unapanda au unashuka rasilimali tunazo nyingi sana Mungu ametubariki ila ndo taifa Masikini Afrika ,what a shame my broh?
Ukiwa na elfu 38 ya bongo Kenya ni hela ya kula miwa tu just elf 2 tu😁 dah
We are not sharing any DNA,we are on our ownKenya wanaongoza Afrika Mashariki kwa
1.siasa (Viongozi wenu, hawana owezo wa kuongoza wakenya)
2.Uchumi/Uwekezaji (Kenya ndio anaongoza kuwekza Uganda, Tanzania na Ethiopia).
3.Akili (Angalia raia wake wanavyo wenza kujenga hoja, kuchambua, kuchanganua mambo.Sisi ni uchawa kujipendekeza, uoaga na hofu)
somo la uchumi linahitajika sana, value ya pesa haina uhusiano na uchumi value ya dola na tsh ni rate ya kisiasa kudiscourage ama encourage matumizi ya dola nchiniVipi kuhusu dola ya US na shilingi ya TZ, bado thamani ya fedha haiakisi hali uchumi?
Miwa ya elfu 2 Kenya huimalizi!Uchumi wa kenya uko juu japokuwa hawana rasilimali nyingi kama Tanzania
Kenya inajangwa upande wa kasikazini, Tanzania yetu hii uchumi umeganda haueleweki kama unapanda au unashuka rasilimali tunazo nyingi sana Mungu ametubariki ila ndo taifa Masikini Afrika ,what a shame my broh?
Ukiwa na elfu 38 ya bongo Kenya ni hela ya kula miwa tu just elf 2 tu😁 dah
Yeah hafu wao Maji 1L ya Dasani KES 100 ambayo sawa na Tsh 2,000
Wakati sisi 1L TSH 700