Hivi unajua unaweza kutumia akili kidogo tu ukapata pesa nyingi?

Hivi unajua unaweza kutumia akili kidogo tu ukapata pesa nyingi?

Sharing is caring, ila watanzania wana uvivu wa asili, watayaacha hapa,hapa.
Hakika wote tungekuwa na mawazo kama haya, hawa wanaolilia ajira wasingekuepo.

Thanks nimeongeza kitu.
Taratibu tutabadilika mkuu

We (me n you) can change this

Let us show them the right path
 
CONTROLA,
Mashine ya kuchomelea, speakers, generator, na kabati za aluminium Sikubaliani Nawe Kwamba Hizo ni Ideas Nzuri. Unamkodishia nani? Kwa Tz yetu watu walivyo wasanii? Unamkodisha mtu kitu cha milioni kwa elfu hamsini? Kuna mtu atakulia njaro tu ATAINGIA NAVYO HIVYO MITINI NA MKOA ATAHAMA. Unahakikisha vipi hilo tatizo halitokei?

Pia kiwanja kama unacho, lazima kiwe location nzuri. Sio watu wengi wenye viwanja vilivyo location nzuri vimekaa tu. Asilimia ya watu hapa wana viwanja viko location zisizo na tija. Pia kibanda cha biashara cha kukodi, hauwezi kukiweka sehemu ambayo sio ya kwako ukakikodisha. Manake lazima uwe na eneo zuri kwanza, ndio uviweke. Kama ni vile vibanda portable vya kuhamika, utahakikisha vipi mtu haweki njama na kukiiba yeye halafu aje kuripoti kuwa kimeibiwa na mtu mwingine?

Wana JF mjue hakuna njia rahisi ya kutengeneza $$ . Hii post inafanya mtu ufikirie hizo njia zinawezekana kirahisi kama Controla alivyosema. Sio kweli kabisa.
 
DocJayGroup,
Kwa hio sawa. Fanya kama mwandishi alivyoshauri ila jua kwa asilimia kubwa, kama hautapata suluhisho ya hizo challenges nimezisema hapo LAZIMA MTAJI WAKO UTAUPOTEZA NA PIA BISHARA ITAFELI Tu. Simaanishi kuwa negative. Huo ni uhalisia tu. Mimi na experience kubwa tu katika kufanya investment Tanzania. Kwa hio sio kwamba nasema tu. Naandika kutokana na ujuzi wangu.
 
Aiseeh

Back
Top Bottom