ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Hii ni ndani ya mada 🤔Fast moving clips of various life events, dreams, setbacks, future plans etc
Rudi fesibuku upesi 😎Inasikitisha sana
Ukifumba macho bado "huoni" kwa macho, bali ubongo unaendelea kuchakata taarifa. Hizo rangi, miale na maumbo ni shughuli za mfumo wa kuona kwenye ubongo, huku kutambua kabati au jiko ni kumbukumbu na mazoea ya mazingira. Kwa kifupi, macho hufungwa lakini ubongo hauzimiki. 😊Hivi Unapofumba Macho Bila Kusinzia, Huwa Unaona?
Hivi unapofumba macho na sio kusinzia, je huwa unaona?
Unaona nini ukifumba macho yako?
Ni kweli huwa unaona au huwa unahisi?
Ukifumba macho sasa hivi kuna kitu unaona ?
Unadhani ni halisi ?
Au huwa unatengeneza picha mwenyewe kwenye kichwa chako?
Mimi nikifumba macho kwa nguvu huwa naona vitu kama rangi rangi
Naweza kuona vitu kama miale kama hilo eneo lina mwanga mkali
Sasa hizo rangi rangi miale
Ni kwamba mtu anaona kweli au ni ubongo unatengeneze picha kwenye akili ?
Lakini pia wakati mwingine ukifumba macho unahisi kama bado unaona
Mfano, unaweza kufumba macho lakini uk01atembea ndani na unaweza kujua kama hapa kuna kabati, jiko, au vitu vingine na huvigongi
Sasa hapo unaona au ubongo wako unatumia kumbukumbu ulizozihifadhi?
Je, hii inamaanisha huwa tunaona kwa macho pekee, au kuna namna ubongo wetu unatengeneza picha hata bila kuona?
Usiku 01:01 kama hujalala njoo tupige story hapa
ShesRise_1 ✋️
Naomba nauli 😎Rudi fesibuku upesi 😎
Macho kufungwa lakini ubongo hauzimiki !Ukifumba macho bado "huoni" kwa macho, bali ubongo unaendelea kuchakata taarifa. Hizo rangi, miale na maumbo ni shughuli za mfumo wa kuona kwenye ubongo, huku kutambua kabati au jiko ni kumbukumbu na mazoea ya mazingira. Kwa kifupi, macho hufungwa lakini ubongo hauzimiki. 😊
Drop no yako kijana mdogoNaomba nauli 😎
...na ubongo ukizimika ndo umekufaUkifumba macho bado "huoni" kwa macho, bali ubongo unaendelea kuchakata taarifa. Hizo rangi, miale na maumbo ni shughuli za mfumo wa kuona kwenye ubongo, huku kutambua kabati au jiko ni kumbukumbu na mazoea ya mazingira. Kwa kifupi, macho hufungwa lakini ubongo hauzimiki. 😊
Hivi ubongo usipofanya kazi mtu ndio bye bye?...na ubongo ukizimika ndo umekufa
😄 Na ubongo ukizimika kabisa, hapo tena si kufumba macho bali mchezo umeisha. Ndiyo maana ubongo unaendelea kufanya kazi hata ukiwa umefumba macho au umelala....na ubongo ukizimika ndo umekufa
Kabisa. Macho yanaweza kufungwa, lakini ubongo unaendelea kufanya kazi—ndiyo maana tunaweza kufikiri, kukumbuka, na hata kuota. 😊Macho kufungwa lakini ubongo hauzimiki !
Hii ina make sense
Yes, ubongo haupumziki tokea unazaliwa, ubongo utakapoamua kupumzika tayari unakuwa dead person.Hivi ubongo usipofanya kazi mtu ndio bye bye?
Wow jibu linavutiaKabisa. Macho yanaweza kufungwa, lakini ubongo unaendelea kufanya kazi—ndiyo maana tunaweza kufikiri, kukumbuka, na hata kuota. 😊
😃duniani hakuna mapumziko, mapumziko ni kaburini😄 Na ubongo ukizimika kabisa, hapo tena si kufumba macho bali mchezo umeisha. Ndiyo maana ubongo unaendelea kufanya kazi hata ukiwa umefumba macho au umelala.
Ubongo na moyo ni washirika muhimu katika ku operate mwiliYes, ubongo haupumziki tokea unazaliwa, utakapoamua kupumzika tayari unakuwa dead person.
Una uhakika kaburini utapmzika?😃duniani hakuna mapumziko, mapumziko ni kaburini
Chek inbox 😎Drop no yako kijana mdogo
Done ✔️ 😁Chek inbox 😎