Hivi unapotongozwa na ID ya mtu mnayefahamiana huwa unafanyaje?

naomba nimtag mwenye hii ID mpk na picha mlizotumiana[emoji854]
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Imewahi nitokea hiyo nikampa za uso..maisha yanaendelea
 
Watu na experience zenuπŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…