Hivi unapotongozwa na ID ya mtu mnayefahamiana huwa unafanyaje?


Nipo kuangalia likes [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani kuna ID Za kutongozea [emoji23][emoji23][emoji23]

Nacheka hapa Kama fala

Ila mwamba anatakaga kula wote!!
Anatamani atomber jukwaa zima yani...watu wanamzoom tu, wapo anaowabahatisha anawakula kote kote
 
Umeshabadili ID yako inayojulikana na mwana JF fulani. Ukafungua ID nyingine akaja akakutongoza.

Wewe unamjua yeye anadhani ni member mpya au mwingine.

Unamalizanaje naye.....unamkwepa? unamuignore au unaenda naye hadi mwisho?

Namwita akija napasua tena baada ya hapo nabadili tena id.
 
Wee nenda naye hadi mwisho... watu wanatongoza maghost, ngoja yaje kuwatokea ya kuwatokea.
Ila watu kwanini wanapenda kutongoza tongoza hovyo?
Tongoza ila unachokitaka, hukipati ng'oo [emoji41][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Mtu anaanzaje mpaka kuanza kutongoza ID ambayo unaweza kuta labda ni mkeo!
 
Me mmoja nilishindwa kuvumilia nikamwambia
Akasema ninyamaze
Na nimenyamaza hadi sahii

Sometimes namuonaga anavyojilike
Nachekaaaaa
Napita hivi

Kwa ID nyingine!? Aisee, sasa ID tuu inatongozwa, yaani hata kujua unakutana n wife/husband…
 
PM zina siri nyingi mno, inaoneka moderators wanacheka mno πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Either anakupenda kweli umemvutia kwa mara nyingine, au ni kitombi anatongoza tu kila mtu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…