NaddySL
JF-Expert Member
- Nov 6, 2019
- 995
- 5,192
Yaani ulivyoelezea ni kama watu fulani hivi nawajua ndio ndoano zao 😁Kidogo tu auntie 😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani ulivyoelezea ni kama watu fulani hivi nawajua ndio ndoano zao 😁Kidogo tu auntie 😆
Hio ID ya beesmom ni mwanaume au KE, au ni lesbian
Ndo hao haoYaani ulivyoelezea ni kama watu fulani hivi nawajua ndio ndoano zao 😁
Kutongozwa sio shida shida ni mtu mmoja kutongoza jukwaa zima [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] swali la "umejuaje' naomba ulielekeze kwa Hornet
Wanaanza kukuzoea jukwaani
Boom PM oh rafiki nakusabahi
Oh unaonekana uko charming sana kutokana na comments zako
Mara unapatikana wapi
Mmechat masaa ma3
Rafiki naomba nikuone ‘ unamwambia anza kutuma yako.
Anakwambia hii App ya jf inazingua picha haitoki [emoji1787] lete namba nikutumie wasap
Anatamani atomber jukwaa zima yani...watu wanamzoom tu, wapo anaowabahatisha anawakula kote koteYaani kuna ID Za kutongozea [emoji23][emoji23][emoji23]
Nacheka hapa Kama fala
Ila mwamba anatakaga kula wote!!
Hapana aisee... tutongozane msimu huu wa kuandaa mashamba, tulime, tupalilie pamoja. Tukivuna tufanye sherehe ya kujipongeza pamojaUsijali,subiri msimu wa sikukuu 😄😄
Nimepata mixed members 😆😆Anatamani atomber jukwaa zima yani...watu wanamzoom tu, wapo anaowabahatisha anawakula kote kote
Kwanini 😄Nipo kuangalia likes [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🙆🙆🙆🙆🤣🤣🤣🤣Hapana aisee... tutongozane msimu huu wa kuandaa mashamba, tulime, tupalilie pamoja. Tukivuna tufanye sherehe ya kujipongeza pamoja
Umeshabadili ID yako inayojulikana na mwana JF fulani. Ukafungua ID nyingine akaja akakutongoza.
Wewe unamjua yeye anadhani ni member mpya au mwingine.
Unamalizanaje naye.....unamkwepa? unamuignore au unaenda naye hadi mwisho?
Wee nenda naye hadi mwisho... watu wanatongoza maghost, ngoja yaje kuwatokea ya kuwatokea.
Ila watu kwanini wanapenda kutongoza tongoza hovyo?
Tongoza ila unachokitaka, hukipati ng'oo [emoji41][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Me mmoja nilishindwa kuvumilia nikamwambia
Akasema ninyamaze
Na nimenyamaza hadi sahii
Sometimes namuonaga anavyojilike
Nachekaaaaa
Napita hivi
Anatamani atomber jukwaa zima yani...watu wanamzoom tu, wapo anaowabahatisha anawakula kote kote
Mchuchu mambo[emoji28][emoji28][emoji28]
Uzee unakaribia😅Lipo miaka mingi, ni kwamba hujabahatika kukutana nalo
Njoo bas PMFungua PM nikupige mtongozo moja makini sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Either anakupenda kweli umemvutia kwa mara nyingine, au ni kitombi anatongoza tu kila mtu